18/11/2025
Wengi wamekua wakijiuliza ikitokea wanabadilisha simu Je DATA au TAARIFA zao watawwza kuzihamisha zote kwenda kwa SIMU MPYA.
Jibu ni NDIO na HUDUMA hii inafanyika dukani KWETU pale utakaponunua simu KWETU na ukahitaji KUHAMISHIWA DATA ZAKO zote tunakufanyia kazi hiyo BUREEE!
Karibuni sana REDMI SHOP TANZANIA