Fega Phone

Fega Phone Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fega Phone, Electronics Store, Mlimani City, Dar es Salaam.

24/08/2026
26/07/2026

✨ Back Glass ya iPhone yako imepasuka?

Usiruhusu simu yako ipoteze muonekano wake. Tunabadilisha back glass kwa ustadi na usafi mkubwa ili iPhone yako irudi na mwonekano wa kuvutia k**a awali.

✔️ Kazi safi na yenye ubora
✔️ Huduma ya haraka isiyozidi dakika 45
✔️ Bei rafiki

Tuwasiliane leo.

📞 0717 778 741

25/07/2026

🔋 Battery ya iPhone yako haikai na chaji?

K**a simu yako inazima ghafla, inaisha chaji haraka au battery health imeshuka, ni wakati wa kubadilisha battery.

Fega Phone tunatoa huduma ya kubadilisha battery kwa haraka na umakini ili simu yako irudi kufanya kazi vizuri.

✅ Chaji inadumu/kukaa zaidi
✅ Huduma ya haraka 20-30mins
✅ Bei nafuu

Piga simu au WhatsApp:

📞 0717 778 741

18/07/2026

📱 Screen imepasuka?

Tunabadilisha screen za iPhone kwa ubora wa juu na warranty.

📍 Mlimani City

📩 Tuma DM sasa

06/07/2026

📱 Screen imepasuka?

Tunabadilisha screen za iPhone kwa ubora wa hali ya juu na warranty mpaka mwaka mmoja.

📍 Mlimani City

📩 Tuma DM sasa kujua bei

06/06/2026

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Telephone

+255717778741

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fega Phone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fega Phone:

Shortcuts

Share