03/08/2026
Je, unakwama na mfumo wako wa Vision? Usikubali biashara isimame, tuko hapa kukusaidia! 🚀
Dawati letu la msaada liko wazi kwa watumiaji WOTE wa Vision. Tunatoa huduma ya kiufundi na maelekezo ya moja kwa moja ili kuhakikisha mfumo wako unafanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu. Wataalamu wetu kutoka Exact Software Ltd wako tayari kukuhudumia.
📞 Tupigie Sasa: +255 763 000 949
📌 Maelekezo rahisi ukipiga:
🔹 Lugha: Bonyeza 1 (Kiingereza) au 2 (Kiswahili)
🔹 Huduma: Kisha bonyeza 1 (Mauzo) au 2 (Msaada wa Kiufundi)
🌐 www.visionsoftware.co.tz
📧 [email protected]