Swahiliware Technologies

Swahiliware Technologies A computer technology service provider.
-Laptop/Desktop Hardware Repair
-Software Installation
-Website Development
-Blog Design
-ICT Consultant

Welcome....
06/06/2018

Welcome....

Habari, Swahiliware tumehamishia huduma zetu Karume, Machinga Complex. Huduma zetu za kutengeneza Laptops/Desktops, Kuuz...
03/05/2017

Habari, Swahiliware tumehamishia huduma zetu Karume, Machinga Complex. Huduma zetu za kutengeneza Laptops/Desktops, Kuuza Harddisk , Kubadili Screen za Laptops, Keyboards nk zinapatikana kwa urahisi zaidi.

Pia huduma ya Website Design bado inapatikana kwa gharama nafuu.
Uaminifu ni wa uhakika.

Mawasiliano:
www.swahiliware.com
+255 714 636032
+255 684 141476
Dar es Salaam.

Website Design and Computer Repair

21/10/2015

Ukihitaji usaidizi zaidi au maoni kuhusu kipi tukufundishe kwenye kurasa wetu tafadhari wasiliana nasi...Whatsapp_(255) 754 458 218

19/10/2015

Ukihitaji usaidizi zaidi au maoni kuhusu kipi tukufundishe kwenye kurasa wetu tafadhari wasiliana nasi...Whatsapp_(255) 754 458 218

28/08/2015

Tafadhari kwa waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura.

Bonyeza *152*00 # kuhakiki taarifa zako, itakuhitaji uhingiza namba ya kitambulisho chako cha kupigia kura

20/05/2014

Habari! tuambie kipi unahitaji tukufahamishe na tutakuelekeza vizuri....

03/05/2014

Je ukichomeka flash yoyote au hata external hard disk
ama memory card kwenye pc yako zinakuwa
shortcut...Usihofu jibu lipo...
Angalia drive letter ya flash/memory yako kwa kwenda
kwenye my computer na kuangalia herufi inayotokea
baada ya jina la flash yako....
mfano....E, au C, D,E,F,G,H nk.
Nenda kwenye commandprompt kwa kuonyeza
startbutton halafu andika cmd bonyeza enter..
Itatokea screen nyeusi...usihofu ndio tunayoihitaji.
Sasa hapo andika ile herufi ya flash/memory yako
ikifuatiwa na alama ya colon(:) na kisha bonyeza
enter.
mfano H:
Sasa hapo tutarudisha mafile yetu kwa kuandika

attrib -s -h *.* /s /d

Hakikisha unaacha nafasi mahala husika au copy hii na
ukaipaste..Kisha bonyeza enter...
Sasa waweza kuona mafile yako..

30/04/2014

Facebook Tip.....

Kuandika like button (Y) andika Y kwenye mabano
Kuandika

Address

Machinga Complex, Karume
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 10:00 - 18:00
Tuesday 10:00 - 18:00
Wednesday 10:00 - 18:00
Thursday 10:00 - 18:00
Friday 10:00 - 18:00
Saturday 10:00 - 18:00

Telephone

255684141476

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahiliware Technologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahiliware Technologies:

Share