MGAZA Company Ltd

MGAZA Company Ltd Mgazacompany ltd tunajushughulisha na ushoraji wa ramani zamajengo pia tunadeals na computer HARD WE

Acha kuchukua MWANAUME ambaye hana kazi halafu unakuja kumsimanga kuwa hakuhudumii, uliombwa?Unakutana na kaka wa watu a...
05/09/2024

Acha kuchukua MWANAUME ambaye hana kazi halafu unakuja kumsimanga kuwa hakuhudumii, uliombwa?

Unakutana na kaka wa watu ambaye hana kazi, au ndiye anayeanza kazi au biashara yake ndogo, bado anajitafuta maishani na hajapata mwelekeo. Wewe una kazi nzuri na kipato kikubwa, unamuambia unampenda hivyo hivyo, mapenzi hayachagui pesa. Basi unalazimisha mkae pamoja, na wewe ndiye unayelipa kodi na kutoa kila kitu humo ndani.

Kaka wa watu bado maisha yake hayajajipanga, unalazimisha afanye mambo makubwa k**a kuja kwenu kujitambulisha na kutoa mahari, wakati mwingine hata unajilipia mahari mwenyewe ili tu akuoe. Mnaoana au mnaendelea kuishi pamoja, sasa kaka anafurahia kulelewa, anakula hela zako na hakuhudumii chochote. Unaanza kulalamika, "Mbona hanipi hata mia?" "Mbona hanihudumii chochote?" "Ananipenda kweli?"

Dada, kilikuwa ni kiherehere chako, narudia, ni kiherehere chako, hivyo tulia, amka kutoka kwenye ndoto, usisumbue watu! Nani alikuambia uchukue mwanaume na uanze kumlea? Lini katika kufundwa ulifundishwa utafute mtu ambaye hana pesa na uanze kumsumbua? Kaka wa watu alikuwa anafurahia maisha yake kuishi chumba kimoja cha elfu 20, unakwenda kukodi nyumba nzima unataka kumpa presha alipie kodi ya laki 3.

Mna mtoto, mkaka wa watu hata hana unampeleka mtoto shule ya mamilioni, halafu unalalamika, "Halipi ada," kwani elimu si bure? Uliombwa umpeleke kwenye hiyo shule? Acheni kutia watoto wa watu presha na kuwachokoza kwa kutaka maisha ya juu!

Dada, hujalazimishwa, k**a unataka mwanaume mwenye hela, subiri utafute mwenye hela. Lakini k**a unataka mwanaume ambaye atakusaidia kila kitu, mbona wapo wengi? Lakini kumchukua kijana wa watu anayeanza kujitafuta halafu unataka aishi maisha yako, kumsimanga kila siku kuwa hahudumii kumbe ni shida zako, itakula kwako!

NB; Mwanume acha kupenda kulelewa utadhalilika, jitume hata k**a huna kihivyo toa hata kidogo, rudi hata na NDIZI nyumbani ulinde unaume wako!

Hii ndo Tanzania nchi ambayo ukifa kwa stress utakuwa umejitakia mwenyewe
30/07/2024

Hii ndo Tanzania nchi ambayo ukifa kwa stress utakuwa umejitakia mwenyewe

SOMA KISA HIKI KISHA NIPE JIBUโœ๏ธ๐Ÿ’ฌJamaa mmoja alimfumania mkewe na akamlipiza faini ya  ng'ombe watatu. Baada ya mwaka mm...
29/07/2024

SOMA KISA HIKI KISHA NIPE JIBUโœ๏ธ๐Ÿ’ฌ

Jamaa mmoja alimfumania mkewe na akamlipiza faini ya ng'ombe watatu. Baada ya mwaka mmoja wale ng'ombe walizaa, hivyo wakaanza kutoa maziwa.

Siku moja jamaa na mkewe wakiwa wanakunywa maziwa, mke akamuuliza, Mme wangu umeona utamu wa mwili wangu? hivi usingenik**ata ugoni ungekunywa haya maziwa leo?๐Ÿ™„๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜จ

We k**a mme wake ungemjibu nini?
๐Ÿ˜Ž๐Ÿคค

Mke alimuaga Mume wake anaenda kumuuguza mama yake. Badala yake akaenda kwa mchepuko wake na kukaaa huko kwa mwezi moja....
29/07/2024

Mke alimuaga Mume wake anaenda kumuuguza mama yake. Badala yake akaenda kwa mchepuko wake na kukaaa huko kwa mwezi moja.

Akiwa kwa Mchepuko wake bahati mbaya mama yake mzazi akafariki.

Mume na Ndugu wengine wakaenda msibani. Cha ajabu, hawakumkuta yule mwanamke msibani.

Walipomaliza kuzika wakarudi makwao.

Mwanamke alirudi kwa mume wake baada ya mwezi moja.

Mumewe akamuuliza mama anaendeleeje? Akajibu โ€œAmepata unafuu kidogoโ€
Yule Bwana hakumwambia chochote kuhusu kifo cha Mama. (Yaani Mama mzazi wa mke wake)

Siku iliyofuta majirani wakaja kumpa pole yule mama, kuhusiana na kifo cha mama yake.

Je, ungekuwa wewe ndio huyo Mama Ungefanyeje? Na k**a wewe ndio Mume wa huyo Mama Ungefanyeje?

MTU ASIKUPUNGUZIE MWENDO.--Sikia,hata k**a kuna changamoto,MTU yeyote ASIKUPUNGUZIE MWENDO,Kwa maneno yasiyo na maana.--...
29/07/2024

MTU ASIKUPUNGUZIE MWENDO.
--Sikia,hata k**a kuna changamoto,MTU yeyote ASIKUPUNGUZIE MWENDO,Kwa maneno yasiyo na maana.
--Cbangamoto lazima,hata Wana WA Israeli walikutana na chuki kabla asali,nasema endelea mbele,wanadamu hapana Mbingu.
--WAEBRANIA 12:1-2 Tupige mbio Kwa saburi tukimtazama Yesu mwenye kuianziaha imani yetu,sikia basi,endelea mbele Imani yako haikuanzishwa na watu bali ilianzishwa na Yesu.
--Huna Haja ya kuwaangalia hao wataabishaji,hawajaa za Leo,Tobias na Sanbalati aliwazuia na kuwakatisha tamaa wajenzi wa Yerusalemu MPYA,endelea mbele KAZI ya Mungu haitazimishwa Kwa Moto wa MAADUI,basi sema amen.

Chunga sana adui wako kwenye maisha, asiwe wewe mwenyewe..Ugomvi wako mkubwa uwe ni hela, na kutoa sapoti kwa wanaokuhit...
28/07/2024

Chunga sana adui wako kwenye maisha, asiwe wewe mwenyewe..

Ugomvi wako mkubwa uwe ni hela, na kutoa sapoti kwa wanaokuhitaji..

Wazazi waishi pazuri, familia isiishiwe tabasamu lao usoni..

Sio unaamka ukiwa na hasira, ya kwanini Kaisal hajajibu text yako..

Au unanuna siku nzima, imekuwaje Asha, kaku blue tick tangu asubuhi...

Unaumia kabisa, ukiona umenyimwa attention, na yule asiekusaidia chochote..

K**a bado inakusumbua, kumuona online, mtu uliempigia kisha hajapokea..

Bado una safari ndefu sana, ya kuwaelewa watu na matendo yao...

Dunia itaendelea kusafiri na mashujaa wake, na wewe utabaki stendi na udhaifu wako..

Chagua vita kubwa, hizo ndogo waachie wasiokuwa na cha kupoteza...

NINJA..Chunga sana adui wako kwenye maisha, asiwe wewe mwenyewe..

Ugomvi wako mkubwa uwe ni hela, na kutoa sapoti kwa wanaokuhitaji..

Wazazi waishi pazuri, familia isiishiwe tabasamu lao usoni..

Sio unaamka ukiwa na hasira, ya kwanini Kaisal hajajibu text yako..

Au unanuna siku nzima, imekuwaje Asha, kaku blue tick tangu asubuhi...

Unaumia kabisa, ukiona umenyimwa attention, na yule asiekusaidia chochote..

K**a bado inakusumbua, kumuona online, mtu uliempigia kisha hajapokea..

Bado una safari ndefu sana, ya kuwaelewa watu na matendo yao...

Dunia itaendelea kusafiri na mashujaa wake, na wewe utabaki stendi na udhaifu wako..

Chagua vita kubwa, hizo ndogo waachie wasiokuwa na cha kupoteza...

CHANGAMOTO inayohusu UGONJWA wa KIHARUSI  ( STROKE ).STROKE au KIHARUSI ni CHANGAMOTO inayotokea GHAFLA kwenye UBONGO am...
10/06/2024

CHANGAMOTO inayohusu UGONJWA wa KIHARUSI ( STROKE ).

STROKE au KIHARUSI ni CHANGAMOTO inayotokea GHAFLA kwenye UBONGO ambapo MTIRIRIKO wa DAMU kwenye ENEO fulani la UBONGO husitishwa GHAFLA au KUPUNGUA sana hivyo kusababisha eneo hilo kuanza KUFA.

Hili linaweza KUTOKEA pale MISHIPA ya DAMU ya kuelekea kwenye ENEO hilo KUPASUKA.
SELI za UBONGO za ENEO hilo zikianza KUFA kwa kukosa DAMU, shughuli ZOTE zinazoendeshwa na ENEO hilo la UBONGO husimama kwa mfano KUMBUKUMBU au MISULI.

KIHARUSI ni UGONJWA wa DHARURA ivyo TIBA inatakiwa ipatikane MAPEMA.
KIHARUSI huweza kumpata MTU yeyote, wakati wowote.

AINA ZA KIHARUSI ( STROKE )
Kuna AINA kuu TATU za STROKE ,nazo ni:-
1.ISCHEMIC
2.HEMORRIHAGIC
3.TIA

KUNDI la WATU lililo kwenye HATARI kubwa ZAIDI ya kupata UGONJWA huu ni lile la WATU wenye MIILI MIKUBWA ( WANENE ),wenye UMRI zaidi ya MIAKA 55,wenye HISTORIA ya UGONJWA huu kwenye FAMILIA zao,wasiofanya MAZOEZI, wanaokunywa sana POMBE au kutumia MADAWA haramu.

KIHARUSI HUSABABISHWA NA NINI?

AINA zote TATU za KIHARUSI hapo juu zinasababishwa na VITU tofauti.

ISCHEMIC STROKES:-
Hii ndio AINA ya STROKE inayowaathiri WATU wengi zaidi.
ASILIMIA 85% ya WAGONJWA wa STROKE hupatwa na AINA hii ya KIHARUSI. AINA hii ya KIHARUSI husababishwa na KUZIBA kwa ARTERI ( mishipa ya kusafirisha damu safi ) zinazoelekea kwenye UBONGO au KUSINYAA kwa MISHIPA hiyo,ivyo kusababisha hali inayoitwa ISCHEMIA ( upungufu mkubwa wa mtiririko wa damu ).
KUZIBA kwa MISHIPA ya DAMU hutokea BAADA ya DAMU kuganda NDANI ya ARTERI zinazoelekea kwenye UBONGO au katika MAENEO ya mbali zaidi na KUSUKUMWA kwenye MISHIPA yenye KIPENYO KIDOGO ndani ya UBONGO.
MISHIPA hii inaweza KUZIBWA pia na MAFUTA yaliyoganda NDANI ya ARTERI ( Plaque ).

HEMORRHAGIC STROKES:-
Hii husababishwa na ARTERI ndani ya UBONGO kuvuja DAMU au KUPASUKA.
DAMU hii iliyovuja huleta MGANDAMIZO kwenye SELI za UBONGO na KUZIHARIBU.Kupasuka kwa MISHIPA ya DAMU husababishwa na HYPERTENSION, TRAUMA au DAWA zinazofanya MISHIPA hii ya DAMU kupungua UNENE wake.

TRANSIENT ISCHEMIC ATTACK ( TIA):-
Hii ni TOFAUTI na AINA hizo MBILI za STROKE hapo juu kwani hapa MTIRIRIKO wa DAMU kuelekea kwenye UBONGO huvurugwa kwa MUDA MFUPI kwa sababu zile TULIZOZITAJA hapo JUU tulipozungumzia ischemic strokes.
STROKE ya AINA hii ni ISHARA ya KUTOKEA STROKES nyingine BAADAE k**a HATUA zinazostahili hazitachukuliwa.

DALILI ZA KIHARUSI ( STROKE ).

UGONJWA wa KIHARUSI humpata MTU ghafla na DALILI hutokea kwa MUDA mfupi sana.DALILI kuu za UGONJWA huu ni:-
1.Kuchanganyikiwa( Mtu kupata shida ya kuongea na kuelewa anachoambiwa.
2.MAUMIVU ya KICHWA yanakwenda pamoja na kupoteza FAHAMU kwa vipindi na KUTAPIKA.
3.GANZI katika VIUNGO vya USO, MKONO na MGUU na hasa VIKIWA vya UPANDE mmoja wa MWILI.
4.Kupata SHIDA ya KUONA kwa JICHO moja au yote.
5.Kupata SHIDA ya KUTEMBEA vikichanganyika na KIZUNGUZUNGU na kukosa mpangilio wa MATENDO ya MWILI.

ATHARI za KIHARUSI zinaweza kuwa ni za MUDA mrefu. Kulingana na MUDA uliopita KABLA ya KUUGUNDUA na KUUTIBU Ugonjwa huu.MTU anaweza kupata ULEMAVU wa MUDA mfupi au wa KUDUMU.
Pamoja na MADHARA ya STROKE anaweza pia KUPATA yafuatayo :-

# MSONGO wa MAWAZO
kwenye MIKONO na MIGUU yanayoongezeka BAADA ya VIUNGO ivyo kufanya KAZI au kutokea MABADILIKO ya HALI ya HEWA.
au UDHAIFU wa UPANDE MMOJA wa MWILI.
# Kupata SHIDA katika kufanya MATENDO ya kuonyesha HISIA za MWILI.
# Kushindwa KUMUDU matumizi ya KIBOFU cha MKOJO au VIUNGO vya NJIA ya HAJA KUBWA.

TIBA:-

KUPITIA UTENDAJI MZURI WA BIDHAA ZETU tunaweza kumsaidia MGONJWA wa KIHARUSI kurudi katika HALI ya KAWAIDA na KUMFANYA aendelee kufurahia MAISHA k**a WATU wengine.

ILI KUJILINDA NA CHANGAMOTO HII NASHAURI YAFUATAYO.
1.Kutotumia MADAWA haramu.
2.Kula CHAKULA chenye MBOGAMBOGA na MATUNDA kwa WINGI na chenye CHOLESTOREL kidogo.
3.Kufanya MAZOEZI kila wakati.
4.Kuhakikisha unadhibiti BLOOD PRESSURE.
5.Kuhakikisha unadhibiti KIWANGO cha SUKARI mwilini.
6.Kuwa na UZITO unaofaa kulingana na UMBILE lako.
7.Kunywa POMBE kwa kiasi au KUACHA kabisa.
8. Kuacha KUVUTA SIGARA.

๐…๐ฎ๐ฅ๐ฅ ๐ƒ๐จ๐ณ๐ข 607,0๐ŸŽ๐ŸŽ.
๐๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ƒ๐จ๐ณ๐ข ๐Ÿ‘58,0๐ŸŽ๐ŸŽ.
๐‘๐จ๐›๐จ ๐ƒ๐จ๐ณ๐ข ๐Ÿ28,0๐ŸŽ๐ŸŽ

Kwa MAELEKEZO zaidi na kupata tibalishe Piga au Whatsapp
0716807023
0766031470

Anaye kufaa si yule mnaefanana naye Bali ni yule mnaeendana naye ndiyo maana hakuna wino mweupe umewahi kufaa kwenye kar...
03/06/2024

Anaye kufaa si yule mnaefanana naye Bali ni yule mnaeendana naye ndiyo maana hakuna wino mweupe umewahi kufaa kwenye karatasi nyeupe

Wanaume hawafaidiki na ndoa!!! 1. Ana umri wa miaka 72. 2. Amestaafu utumishi hai. 3. Alifanya kazi maisha yake yote kuw...
30/05/2024

Wanaume hawafaidiki na ndoa!!!

1. Ana umri wa miaka 72.

2. Amestaafu utumishi hai.

3. Alifanya kazi maisha yake yote kuwalea watoto wake.

4. Alijinyima raha ya maisha kwa kulipia ada ya shule ghali na gharama za maisha ya watoto wake nje ya nchi.

5. Sasa wako vizuri huko Uropa, Australia, na Amerika.

6. Mkewe, mwenye umri wa miaka 62, amehama ili kuishi na watoto wao.

7. Anabaki peke yake nyumbani

8. Watoto wake wanamuita wakiwa na shida.

9. Anatakiwa kuanza maisha upya akiwa bachelor.

10. Anapambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine yanayohusiana na uzee.

11. Ataishi peke yake hadi lini?

12. Huu ndio ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la kufanya kazi walio na mke mmoja: uzee wao mara nyingi ni wa upweke na, mara nyingi huwa katika huzuni.

13. Hata mwanaume awe mzuri kiasi gani, wanawake huwa wanawapenda watoto wao kuliko waume zao. Kadiri anavyokua, ndivyo wanavyoonekana kuwa na matumizi kidogo kwake.

14. Kwa hiyo, wanaume wanafaidika nini hasa kutokana na ndoa?

15. Wanajidhabihu sana lakini wanapata kutambuliwa kidogo kwa kazi yao ngumu, wakati mwanamke anaonekana kupata faida zote.

Wanaume wapendwa, hii inaweza kuwa hali yako miongo michache ijayo. Unafanya nini kujihusuru na hali hiyo? Mpango wako wa kustaafu ni upi? Jijali mwenyewe k**a vile unavyoitunza familia yako. Jipende mwenyewe. Mungu akubariki.

Matajiri huoa wake Wenye Akili  Hata K**a Wanasura Za Kawaida (Mbaya). Masikini Huoa wake Wenye sura nzuri hata k**a haw...
14/10/2023

Matajiri huoa wake Wenye Akili Hata K**a Wanasura Za Kawaida (Mbaya). Masikini Huoa wake Wenye sura nzuri hata k**a hawana akili kichwani.
Lengo la Tajiri Ni kulinda mali yake kwa kutafuta Mke Bora Kiakili.

Huku Lengo La Masikini Kufurahisha haja zake Kwa kupata Mke Mwenye Sura Nzuri Hata K**a Kichwani Hana Akili.
โ™ŒAmka Wewe Masikini Mpumbavu!

Hali haijakaa sawaaaa
14/10/2023

Hali haijakaa sawaaaa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGAZA Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MGAZA Company Ltd:

Share