Zantel Tanzania

Zantel Tanzania Most innovative brand in the market today The Zantel story is one of investment, one of innovation, one of potential award-winning customer service.

But, above all, it is one of growth and the ability to deliver the tremendous benefits of mobile communications in Tanzania. With roots going back to 1999, Zanzibar Telecom Ltd. became a joint venture between

The government of Zanzibar 18% Emirates Telecommunications Corporation (ETISALAT) 65% Meeco International of Tanzania 17% Zanzibar Telecom Ltd was launched on 19th July 1999. However, Zantel

s commercial operations commenced a month later in the month of August 1999. With its own international gateway, Zantel offers International communication service at extremely competitive rates. Zantel shareholders include Emirates Telecommunication Corporation (ETISALAT), the Government of Zanzibar, the Kintbury Investments of the Channel Islands and MEECO International of Tanzania According to Wireless Intelligence June 2007, Zantel is the fastest growing operator in the region. Zantel has its own international gateway and was the first to reduce rates on international calls by 60%. Zantel was the first to introduce wireless internet in Tanzania Zantel was the first to introduce per second billing in Tanzania Zantel offers Internet and High Speed Data Network in Dar es Salaam and Zanzibar enabling customers to browse the Internet and access business applications such as Internet based e-mail accounts Zantel has recorded tremendous growth upon introduction of its services in the Tanzania Mainland Zantel is a total communication company offering fixed, mobile and data services Zantel is a good corporate citizen and has been at the forefront in supporting various initiatives, especially education and sports Zantel's diverse clientele includes the personal customer to the public and private companies, including other operators. For Career Opportunities please visit http://www.millicom.com/our-careers/job-search/

Si unajua k**a ZIM haiko mbali kiviiiiiile, haya fanya hivi…📌 piga *150*01 #📌Bonyeza namba 5 ➡️ Lipa kwa Simu📌Bonyeza na...
24/09/2024

Si unajua k**a ZIM haiko mbali kiviiiiiile, haya fanya hivi…

📌 piga *150*01 #
📌Bonyeza namba 5 ➡️ Lipa kwa Simu
📌Bonyeza namba 6 ➡️ Tiketi
📌Kisha chagua Marathon na fuata maelekezo 💪🏽

Yaani ni rahisi sanaaaa 😎🙌🏾

kwa spidi ya 5G

Mhe Rais Wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wetu wa Kanda ya Zanzibar wakati alipotembe...
20/09/2024

Mhe Rais Wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wetu wa Kanda ya Zanzibar wakati alipotembelea banda la TigoZantel kwenye tamasha la Fahari ya Zanzibar leo tarehe 20 September 2024.

🤝  na eGAZ tupo  Mkurugenzi wetu wa Kanda ya Zanzibar, Aziz Said Ali akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serik...
19/09/2024

🤝 na eGAZ tupo

Mkurugenzi wetu wa Kanda ya Zanzibar, Aziz Said Ali akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), Bwana Said Seif Said, katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Pamoja wa Kidigitali kwa Serikali (SGES) uliofanyika leo .

📌Mr. Aziz Said Ali, alisema “Nina furaha kubwa kusimama mbele yenu leo katika siku hii muhimu tunapozindua rasmi Mfumo wa Pamoja wa Kidigitalikwa Serikali (SGES).Mfumo huu, unaojumuisha Bulk SMS, USSD, na Huduma za SMS , ni mwanzo wa mabadiliko ambayo yataboresha utawala na huduma kwa wananchi wa na pia Mfumo wa Pamoja wa Serikali unatoa njia kwa uvumbuzi wa baadaye katika huduma za (cloud services), uchambuzi wa data wa hali ya juu, na suluhisho zinazoendeshwa na akili mnemba (AI) ambazo zitaimarisha sana utoaji wa huduma za serikali na ushiriki wa wananchi.

📌Ushirikiano wetu na serikali ya na eGAZ utaendelea kufunguafursa mpya kwa e-commerce🛒, malipo ya kidijitali🧾, nakuimarisha usalama wa mtandaoni🛜.”

Ebu tujuze ni kitu gani unapenda au unapendelea kukifanya ukiwa Zanzibar? Haya sasa ule mtoko wetu wa Zenji umerudi tena...
06/09/2024

Ebu tujuze ni kitu gani unapenda au unapendelea kukifanya ukiwa Zanzibar? Haya sasa ule mtoko wetu wa Zenji umerudi tena… TigoZantel Zanzibar International Marathon inakusubiria wewe mdau wetu kujikatia tiketi yako kwa kupitia Tigo Pesa 😎 Angali post yetu kwa maelezo zaidi 💙

Jipatie ticket yako ya kwenda Zanzibar kwa Tigo Pesa kwa kupitia tovuti ya Azam Fast Ferries faster
21/08/2024

Jipatie ticket yako ya kwenda Zanzibar kwa Tigo Pesa kwa kupitia tovuti ya Azam Fast Ferries faster

Wateja wetu wapendwa 💙 , asante kwa kuwa SAKO KWA BAKO na mtandao wenye   yenye kasi zaidi yenye spidi zaidi ya 1Gbps.  ...
21/08/2024

Wateja wetu wapendwa 💙 , asante kwa kuwa SAKO KWA BAKO na mtandao wenye yenye kasi zaidi yenye spidi zaidi ya 1Gbps.

ni msemo wa Kiswahili unaomaanisha tupo bega bega, Pamoja kila hatua na kwenye hii sisi tunasheherekea kua na nyie wateja wetu zaidi ya milioni 20. Na wateja wetu wamesema wametuchagua kwa sababu:

📌Tuna mtandao wa 5G wenye kasi zaidi ya 1GBPS.
📌Mtandao wa 4G uliobereshwa na unaopatikana kila kona ya Tanzania. Yani kila sehemu yenye mnara wetu ina teknologia ya 4G
📌Tunakuletea vifurushi vya Saizi yako vinavyokupa thamani ya pesa zako
📌 Tumekuletea mpya iliyoboreshwa na kurahisisha miamala kidigitali

🤩Yaani, huku kwetu mwendo wa Sako kwa Bako tu, unyo kwa unyo, Pamoja na wateja wetu zaidi ya milioni 20.

💙Endelea kufurahia mtandao wa watu💙





Mwanafamilia mwenzetu  amekujuza kwamba ni Tigo pekee ndio mtandao wenye KASI ya hatariii na UBORA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾Hivyo basi fany...
20/08/2024

Mwanafamilia mwenzetu amekujuza kwamba ni Tigo pekee ndio mtandao wenye KASI ya hatariii na UBORA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Hivyo basi fanya…..

📌Nunua kifurushi chochote cha internet na uweze ku experience intaneti isiyokua na kwikwi 😎

Yaaani, tupo na wewe 💙💙

*Tigo Zantel na ZMotion Watoa Mafunzo ya Mfumo wa Malipo ya Ada kwa Wamiliki wa Skuli Binafsi Zanzibar*📌Kwa kushirikiana...
16/08/2024

*Tigo Zantel na ZMotion Watoa Mafunzo ya Mfumo wa Malipo ya Ada kwa Wamiliki wa Skuli Binafsi Zanzibar*

📌Kwa kushirikiana na ZMotion, tumeendesha mafunzo ya siku moja kwa wamiliki na wakurugenzi wa skuli binafsi za kuhusu huduma yetu mpya ya LIPA ADA.

📌Mafunzo hayo yamefanyika katika hoteli ya , yakiwa na lengo la kuhakikisha ufanisi wa mfumo huo mpya ambao unatoa fursa kwa wazazi kulipia ada kidogo kidogo kulingana na uwezo wao.

📌 , Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amani , Mh. Khamis Abdullah Said. aliwasihi wamiliki wa skuli binafsi kuchangamkia fursa za uwepo wa mfumo huu ambao utarahisisha sana michakato ya ulipaji ada na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata haki yao ya elimu bila vikwazo vya malipo.

📌Mkuu wetu wa , Aziz Said Ali, alieleza kuwa mfumo wa 'LIPA ADA' ni mojawapo ya ubunifu wa kiteknolojia uliolenga kutatua changamoto zinazowakumba wazazi na shule katika suala la ulipaji ada. Aliongeza kuwa malipo kupitia mfumo huu yatakuwa yakifanyika kupitia huduma ya , hivyo kurahisisha mchakato mzima.

📌Kwa upande wake, Mkurugenzi wa ZMotion alibainisha kuwa mfumo wa 'LIPA ADA' umesanifiwa kwa kuzingatia mahitaji ya shule binafsi na ni rahisi kutumia.
#

Furahia intaneti yenye kasi zaidi na 4G iliyoenea kila kona ya  🇹🇿
14/08/2024

Furahia intaneti yenye kasi zaidi na 4G iliyoenea kila kona ya 🇹🇿

OFA ya mwaka kwa wateja wa Tigo Fiber, Angalia unavyoweza kutumia gharama ndogo kwa ukapata thamani kubwa zaidi. Swipe k...
14/08/2024

OFA ya mwaka kwa wateja wa Tigo Fiber, Angalia unavyoweza kutumia gharama ndogo kwa ukapata thamani kubwa zaidi.

Swipe kuona vifurushi vingine Bab Kubwa vya kuanzia gharama ya Tsh 70,000 tu

📍Mbweni, Bunju na Boko ⁣

WhatsApp 0714 100 100 ⁣
Email [email protected]

Smart Home🏠, Smart Deal,Smart Offer, Kifurushi maalumu cha Tigo Fiber  chenye ofa msimu huu 📍Mbweni, Bunju na Boko Whats...
10/08/2024

Smart Home🏠,
Smart Deal,
Smart Offer,

Kifurushi maalumu cha Tigo Fiber chenye ofa msimu huu

📍Mbweni, Bunju na Boko

WhatsApp 0714 100 100
Email [email protected]

Ulimwengu wa kidigitali unazidi kunoga zaidi hasa ukijua kufanya chaguo sahihi kwa muda sahihi. Maisha nayo yanazidi kun...
07/08/2024

Ulimwengu wa kidigitali unazidi kunoga zaidi hasa ukijua kufanya chaguo sahihi kwa muda sahihi. Maisha nayo yanazidi kunoga ukipata unachostahili zaidi kwa thamani ile ile ya awali.

Vifurushi vya Tigo Fiber vinavyokupa urahisi zaidi

📍Mbweni, Bunju na Boko

WhatsApp 0714 100 100
Email [email protected]

Address

PSSSF Commercial Complex Sinza
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zantel Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zantel Tanzania:

Share