Airtel Tanzania

Airtel Tanzania
Fanya miamala kupitia MyAirtelApp sasa na ujishindie mizawadi kibao Follow us on https://twitter.com/airtel_tanzania

The OFFICIAL Airtel Tanzania page maintained and updated by Airtel. For ALL your queries and support questions, we are here for YOU.

Ikilia tu ujue iko mbioni kukata.Nunua chap kwa MyAirtel App upate token mapema.
07/08/2026

Ikilia tu ujue iko mbioni kukata.
Nunua chap kwa MyAirtel App upate token mapema.

Namba yako ya siri ni yako tu🛑Simu yako ni yako, taarifa zako ni zako. 🔐Usitoe PIN, OTP wala nywila.
07/08/2026

Namba yako ya siri ni yako tu🛑
Simu yako ni yako, taarifa zako ni zako. 🔐
Usitoe PIN, OTP wala nywila.


Ubunifu Kila Kona! Haijalishi uko wapi, wala unafanya nini—ubunifu hauna mipaka.Airtel, kwa kushirikiana na Buni Innovat...
06/08/2026

Ubunifu Kila Kona!

Haijalishi uko wapi, wala unafanya nini—ubunifu hauna mipaka.

Airtel, kwa kushirikiana na Buni Innovation Hub na DTBi, tunaendelea kusogeza fursa kwa vijana kwa kuwajengea uelewa na ujuzi wa matumizi ya teknolojia pamoja na huduma za kidijitali.

Lengo ni kuwawezesha kubuni suluhisho za changamoto zinazoikabili jamii, kujiajiri, na kuanzisha fursa za ajira kwa wengine.

06/08/2026

Minyoosho Inaendelea🔥

Washindi zaidi. Zawadi zaidi.

Fanya muamala bila kikomo kupitia My Airtel App, zungusha gurudumu na ushinde zawadi papo hapo!

Kumbuka, Washindi wote watapigiwa simu na namba yetu rasmi ya Huduma kwa Wateja 100 pekee.

Pakua My Airtel App sasa, zungusha gurudumu na ushinde leo!

Kila siku ni nafasi mpya ya kushinda! Tuambie, leo umefanya muamala gani kwenye My Airtel App?
06/08/2026

Kila siku ni nafasi mpya ya kushinda!

Tuambie, leo umefanya muamala gani kwenye My Airtel App?



Usidanganyike ! Ukiona namba nyingine ikijitambulisha k**a Airtel Customer Care, ripoti mara moja na usitoe taarifa zako...
05/08/2026

Usidanganyike ! Ukiona namba nyingine ikijitambulisha k**a Airtel Customer Care, ripoti mara moja na usitoe taarifa zako binafsi.


Siri ya mchezo MyAirtel App!Pakua, jisajili kwa namba yoyote ulipie bando la Smart Connect kwa urahisi.
05/08/2026

Siri ya mchezo MyAirtel App!
Pakua, jisajili kwa namba yoyote ulipie bando la Smart Connect kwa urahisi.


05/08/2026

Minyoosho Inaendelea🔥

Washindi zaidi. Zawadi zaidi.

Fanya miamala bila kikomo kupitia My Airtel App, zungusha gurudumu na ushinde zawadi papo hapo!

Kumbuka, Washindi wote watapigiwa simu na namba yetu rasmi ya Huduma kwa Wateja 100 pekee.

Pakua My Airtel App sasa, zungusha gurudumu na ushinde leo!

05/08/2026

🔥 MINYOOSHO INAENDELEA.
Na round hii ya pili mambo ni litiiiiiii! 🔥

Spins zimeongezeka. Washindi wameongezeka. Vibe k**a lote! 🥳🎉

Kila muamala kupitia My Airtel App ni nafasi nyingine ya kuzungusha gurudumu na kujiunga na maelfu ya washindi wanaojinyakulia zawadi kwa muamala tu.

Je, uko tayari kuwa mshindi anayefuata? Pakua My Airtel App, fanya muamala, zungusha gurudumu na ushinde!

Minyoosho Inaendelea... spins zaidi, washindi zaidi, zawadi zaidi! 🚀

Bado Gurudumu lipoooooo!!Minyoosho Inaendelea!Wakati huu mambo ni dabo daboNafasi za kushinda zimeongezeka, spins zimeon...
04/08/2026

Bado Gurudumu lipoooooo!!
Minyoosho Inaendelea!

Wakati huu mambo ni dabo dabo
Nafasi za kushinda zimeongezeka, spins zimeongezeka, na washindi wameongezeka! Sasa ni muda wako kufanya miamala zaidi kupitia My Airtel App, kuzungusha zaidi na kujishindia zawadi.
Usiache nafasi ikupite🥳

Address

P. O. Box 9326
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Airtel Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Airtel Tanzania:

Shortcuts

Share