Duka Huria

Duka Huria Tunawasaidia wajasiriamali mambo matatu:
1.Kuongeza thamani ya bidhaa zenu au huduma
2.Kuandaa tangaz

08/09/2021
03/06/2020

Baiskeli za Wanafunzi wa Secondary sasa zimewasili. Kwa wikii hii zimebaki baiskeli 50, na kila baiskeli inauzwa elf 90 tu. Baiskeli zina gear (automatic). Mikoani tunatuma pia. Piga 0713039875 kuwahi oda yako.Tupo Magomeni.

10/02/2020

Drone online ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watu wa maofisini ushauri wa kitaalam (bure )juu ya computer ikiwemo dondoo za kuzingatia kabla ya kununua computer, mambo ya kufanya ili computer yako idumu muda mrefu n.k , na baada ya maoni yenu tumeleta sample ya computer hizo toka Canada ,zikiwa katika bei ya nafuu mno kuwahi kuonekana kwa muuzaji yeyote Tanzania. Nimeweka picha chache, tazama, Kisha piga namba 0713039875 tukusaidie ushauri bure juu ya computer

Mambo ya kuzingatia ni pamoja na
BEI (PRICE)
Pia ni vyema kuangalia bajeti yako mfukoni, usije ukanunua Kompyuta kwa bei kubwa kuliko uwezo wa computer husika.

RAM
Ram, hii husaidia katika kuongeza ya utendaji wakazi wa Kompyuta yako hasa pale unapokuwa unasoma au unachapa kazi zako

WARRANTY
Pia ni jambo jema sana kuangalia “warranty” ya kompuyta yako, hapa k**a haijawekwa kwenye sticker itakubidi kumuuliza anayekuuzia kwa ajili ya ulinzi Zaidi wa kifaa chako pale kipatapo Shida yoyote,

Kwa ushauri zaidi tembelea tovuti yetu: http://droneadstz.com/products

Piga simu :0713-039875 au bofya chat in whatsapp
Tupo kariakoo opposite China plaza, pia tumefungua tawi mbezi mwisho stand

Piga: 0713 039875 kujua dondoo muhimu kabla hujanunua computer
05/02/2020

Piga: 0713 039875 kujua dondoo muhimu kabla hujanunua computer

27/01/2020

Hongera kwa kujifunza nasi: piga: 0713039875 kupata ofa ya kitabu bure

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duka Huria posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category