Rwebi's

Rwebi's Rwebi’s Company Limited is located in Dar es Salaam -Tanzania; We are committed to our customers and partners and have a passion for technology.

We value integrity, honesty, openness, personal excellence, constructive self-criticism, continual self-improvement, and mutual respect. We take on big challenges, and pride ourselves on seeing them through. We hold ourselves accountable to our customers, shareholders, partners, and employees by honoring our commitments, providing results, and striving for the highest quality.

Sababu 5 Zinazofanya Biashara Nyingi Kupata Hasara Kutokana na Ukosefu wa CCTVWizi wa ndani na nje ya biashara unaweza k...
29/07/2026

Sababu 5 Zinazofanya Biashara Nyingi Kupata Hasara Kutokana na Ukosefu wa CCTV

Wizi wa ndani na nje ya biashara unaweza kusababisha hasara kubwa bila kujulikana kwa wakati.

CCTV husaidia:

✅ Kufuatilia shughuli za kila siku

✅ Kupunguza wizi wa mali

✅ Kufuatilia wafanyakazi na wageni

✅ Kutoa ushahidi wa matukio

✅ Kuongeza usalama wa biashara

Je, biashara yako ina mfumo wa CCTV unaofanya kazi kwa ufanisi?

📞 0766 792721

📧 [email protected]

🌐 Rwebis Website

28/07/2026
01/04/2026

Karibu Kwenye Ulimwengu Wa Ubunifu, Teknolojia Na Ubora
Rwebi’s Company Limited ni kampuni yenye makao yake Dar es Salaam, Tanzania, tumejikita kwenye Branding & Creative, Digital & Development, Integrated Security, Computer Networking, ICT Equipment Maintenance pamoja na Business Supplies & Equipment. Tunatoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, tukijumuisha customised functionalities zinazokidhi mahitaji ya miradi na kuwa na high impact kwenye biashara yako. Timu yetu ya Graphic Designers, IT Consultants, Marketing Officers, Engineers, Developers, pamoja na Logistics & Procurement Officers ina uzoefu mkubwa. Tunahakikisha bidhaa na huduma zetu zinawafikia wateja kwa ufanisi kuanzia hatua ya utekelezaji hadi kwenye maeneo ya matumizi. Tumejijengea heshima kwa kutoa huduma bora, bei nafuu na ubunifu unaoendana na teknolojia za kisasa, tukilenga kila mteja kwa mahitaji yake ya kipekee.

https://chat.whatsapp.com/LnufIdGz0Nc3BJTIu9UePY?mode=ems_copy_t

Call: +255 766 792721
Website: www.rwebis.com

31/03/2026

kwa mahitaji ya Gate Motor Installation wasiliana nasi kupitia 0766792721 au 0776370590

30/03/2026

Security Systems | Rwebi's Company Limited
Call: 0766 792721



www.rwebis.com

29/03/2026

Rwebi's Company Limited ni wataalamu wa mifumo ya Ulinzi na Usalama. Tuna funga CCTV Camera kwenye Maofisi, nyumbani na sehemu mbalimbali za biashara...Unaweza kuwasiliana nasi kupitia 0766 792721 au 0776 370590

Au tembelea tovuti yetu.
www.rwebis.com

28/03/2026

Office and Business Supplies | Rwebi's Company Limited
Call: +255 766 792721

www.rwebis.com

27/03/2026

Je, unahitaji Biashara yako ijulikane zaidi na iwafikie wateja wengi mtandaoni?
Rwebi’s Company Limited, Tuna Design na Ku- Develop Website za kisasa, zenye mvuto na zinazofanya kazi kwa ufanisi ili kuimarisha na kukuza hadhi ya biashara yako.
✅ Ubunifu wa kisasa unaokubaliana na kifaa chochote – simu, Tablet hata Computer.
✅ Website Binafsi, kiofisi na biashara za kuuza mtandaoni.
✅ Uboreshaji wa utafutaji mtandaoni (SEO) – wateja wakupate kwa urahisi kupitia Google.
✅ Usalama na kasi ya juu – tunatumia teknolojia bora kuhakikisha tovuti yako inafanya kazi bila wasiwasi.
✅ Huduma kwa wateja wakati wote.
🌟 Ukiwa na Website kutoka Rwebi’s Company Limited, biashara yako inakuwa na itapanuka kutoka nje ya mtandao hadi mtandaoni – na kufikia wateja popote walipo, muda wowote.
________________________________________
📞 Wasiliana Nasi Leo
☎ +255 766 792721 | 📧 [email protected] | 🌐 www.rwebis.com
Rwebi’s Company Limited – “Tunageuza mawazo kuwa mafanikio ya kidijitali.”

26/03/2026

Rwebi's Company Limited

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 16:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 16:30
Saturday 10:30 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rwebi's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share