Magilaz Media Tanzania

Magilaz Media Tanzania Magilaz Investment ni kampuni iliyosajiliwa kiserikali na kutambuliwa kwa kufanya shughuli zifuatazo:-
1. GRAPHICS DESIGN & PRINTINGS
2. MEDIA PRODUCTION

Follow  for all about Videography.Thanks for choosing Maglaz
17/09/2018

Follow for all about Videography.

Thanks for choosing Maglaz

Ukihitaji samaki popote  ulipo unaletewa. Just follow  wanakuletea mpaka ulipo tena kwa gharama nafuu sana
17/09/2018

Ukihitaji samaki popote ulipo unaletewa. Just follow wanakuletea mpaka ulipo tena kwa gharama nafuu sana

Follow  uletewe Nyama ya Kuku mpaka ulipo.
17/09/2018

Follow uletewe Nyama ya Kuku mpaka ulipo.

Follow  uletewe mayai ya kienyeji mpaka pale ulipo.
17/09/2018

Follow uletewe mayai ya kienyeji mpaka pale ulipo.

Follow  uletewe popote ulipo.
17/09/2018

Follow uletewe popote ulipo.

Thanks  for choosing Magilaz
17/09/2018

Thanks for choosing Magilaz

16/09/2018


Thank you  for choosing us
08/09/2018

Thank you for choosing us

06/09/2018

Thanks Ntonzo kwa kutuunga mkono
23/08/2018

Thanks Ntonzo kwa kutuunga mkono

Karibu ujipatie fursa ya kutangaza Matangazo yako ya kibiashara kwa kupitia Vibebeo vya tiket (Ticket Jacket) za mabasi ...
17/08/2018

Karibu ujipatie fursa ya kutangaza Matangazo yako ya kibiashara kwa kupitia Vibebeo vya tiket (Ticket Jacket) za mabasi ya NEWFORCE na kuwafikia wastani wa wasafiri 2700 kwa wiki moja kwa gharama nafuu.

Kampuni hii pendwa ya mabasi ya Newforce, huenda mikoa ya nyanda za juu kusini. Mbeya, Songwe, Ruvuma na Rukwa, na kwa kupitia mikoa miwili ya Ukanda wa juu yaani Iringa na Njombe. Hubeba wastani wa abiria 300 kwa siku kutokea Dar, kwa mabasi 12 yanayoenda ruti 5 za mikoa hiyo kila siku.

Hivyo, ukipata nafasi ya kutangaza katika moja ya kipande cha Ticket jacket hizo, utakuwa umefanikiwa kutangaza na kuwafikia takribani watu 300 kwa siku, 2,700 kwa wiki. Maana kila abiria atapewa na kila siku kwa wiki nzima.

Kwa mawasiliano zaidi, tutafute kupitia link hii ya Whatsapp ili kuuliza maswali na kujua huduma hii kwa undani.

http://api.whatsapp.com/send?phone=255758487173

Happy Birthday .mwaihabi_official the CEO of .
04/08/2018

Happy Birthday .mwaihabi_official the CEO of .

Address

Ilala Bungoni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:30

Telephone

0758487173

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magilaz Media Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Magilaz Media Tanzania:

Share