Apps And Girls

Apps And Girls Our aim is to give tools and an environment for young girls & women to understand ICT and to build their ideas.

We do this by conducting workshops trainings and mentoring to enable girls and women excel in ICT Apps and Girls gives girls of Tanzania the skills, tools, self-esteem and competitive edge to become effective leaders and drivers in their communities while building sustainable TECH based social-enterprises and companies

05/04/2026

Wishing you a blessed Easter !
May this season fill your heart with peace, hope, and renewed faith. 🙏🏿

21/03/2026

Eid Mubarak!
May Allah accept all our prayers 🙏🏿

08/03/2026

Happy International Women’s to every wonderful woman , keep shining 🌟 🤩

Happy Nyerere Day! Honoring Mwalimu Julius Nyerere - a leader, a teacher, and a visionary who believed in education and ...
14/10/2025

Happy Nyerere Day!
Honoring Mwalimu Julius Nyerere - a leader, a teacher, and a visionary who believed in education and equality for all.
At Apps and Girls, we keep his dream alive by empowering girls to shape the future through tech.
🇹🇿

Tunawatakia wakulima na wafugaji wote heri ya Nanenane! Asanteni kwa kazi yenu kubwa ya kulijenga taifa kupitia chakula ...
08/08/2025

Tunawatakia wakulima na wafugaji wote heri ya Nanenane! Asanteni kwa kazi yenu kubwa ya kulijenga taifa kupitia chakula na maendeleo ya kilimo na ufugaji.

Picha hizi zinaonesha warsha ya Binti Digitali chini ya mpango wa UN Women African Girls Can Code Initiative (AGCCI) ili...
05/08/2025

Picha hizi zinaonesha warsha ya Binti Digitali chini ya mpango wa UN Women African Girls Can Code Initiative (AGCCI) iliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma na kuleta furaha kubwa miongoni mwa wasichana walioshiriki. Warsha hii iliandaliwa kwa lengo la kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kwa kuwapatia maarifa ya kidijitali ambayo yatasaidia kuboresha maisha yao, kiuchumi na kijamii.

Kupitia ushirikiano wetu na , sisi Apps and Girls tulishiriki k**a wadau wa maendeleo ya wasichana katika teknolojia. Katika warsha hii, tulifundisha ujuzi wa Digital Marketing (masoko ya kidijitali) na Graphics Design (usanifu wa picha), ambayo ni kati ya stadi muhimu zinazohitajika sana katika soko la ajira la sasa.
Jumla ya wasichana 50 walipata mafunzo haya kwa vitendo, wakijifunza jinsi ya kutumia teknolojia kubuni, kuwasiliana, na kutangaza bidhaa au huduma kwa njia ya kidijitali. Mafunzo haya yaliwapa msukumo na maarifa ambayo yatakuwa chachu ya maendeleo yao binafsi na ya kijamii.

Tukiwa na lengo moja la kuwawezesha wasichana kidijitali, tunaamini kwamba wanawake wana nguvu ya kufanya mambo makubwa katika sekta ya teknolojia – wakipewa fursa na mazingira sahihi ya kujifunza. Kwa kuwapa maarifa haya ya kisasa, tunawaandaa wasichana hawa kuwa wabunifu, kujiajiri au hata kupata ajira rasmi kwenye taasisi mbalimbali.

Katika Apps and Girls, tunasimamia kwa vitendo imani kwamba kila msichana ana uwezo mkubwa wa kushangaza dunia kupitia teknolojia. Ndiyo maana tunajitahidi kila siku kuleta mabadiliko kwa kuwafikia na kuwapa stadi zinazowahusu na zinazolingana na mahitaji ya sasa.

Tunaishukuru UN Women Tanzania na kwa kuwa mstari wa mbele katika kuwawezesha wanawake na wasichana, na pia kwa kushirikiana nasi katika kuhakikisha warsha hii inakuwa ya mafanikio makubwa.

Jovia ni mwanzo wa safari kubwa za ndoto za wanawake. Tunawasha moto wa matumaini na hatua za ushindi🔥💪🏾
17/07/2025

Jovia ni mwanzo wa safari kubwa za ndoto za wanawake. Tunawasha moto wa matumaini na hatua za ushindi🔥💪🏾



Msichana mmoja ana ndoto... Jovia Program ya  na  inampatia njia ya kuifikia.Kutoka kwenye changamoto hadi kwenye mafani...
11/07/2025

Msichana mmoja ana ndoto... Jovia Program ya na inampatia njia ya kuifikia.
Kutoka kwenye changamoto hadi kwenye mafanikio – Jovia Program inabadilisha maisha ya wasichana kwa kuwapa maarifa, ujasiri na nafasi wanayostahili.

Wewe au dada yako mnaweza kuwa miongoni mwao!

Apply sasa na chukua hatua ya kwanza kuelekea kwenye maisha yenye mwelekeo na nguvu mpya.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0711312181

🚨MUHIMU   MUHIMU🚨Kwa dunia hii ya sisi ambayo Teknolojia imekua kwa kasi sana na Ajira zimekua very limited, KUJIFUNZA T...
08/07/2025

🚨MUHIMU MUHIMU🚨

Kwa dunia hii ya sisi ambayo Teknolojia imekua kwa kasi sana na Ajira zimekua very limited, KUJIFUNZA TEKNOLOJIA NI LAZIMA SASA SIO HIARI.
Tunaona Kazi nyingi zinakua replaced na Teknolojia, Maana yake Ukiwa na Ujuzi wa Teknolojia kupata ajira au kujitengenezea Ajira yako mwenye ni jambo rahisi na hutalala njaa

Apps and Girls Pamoja na Yas Tanzania Tumekuandalia wewe "MSICHANA " Program ya Jovia. Katika program hii utajifunza;
- Kutengeneza Tovuti/Website
- Kufanya Graphics Design
- Mbinu za kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kiteknolojia
- Kupata Fursa za kazi katika sekta ya teknolojia

Mafunzo haya ni Bure Kabisa, Mahali-Kinondoni Vijana

Jisajili kupitia LINK hii bit.ly/ANG-JVA utakutana na fomu utaijaza au piga 0711312181 kwa maelezo Zaidi

Tunawatakia heri ya sikukuu ya saba saba
07/07/2025

Tunawatakia heri ya sikukuu ya saba saba

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apps And Girls posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Apps And Girls:

Share