Swahili Mart

Swahili Mart Swahili Mart is all about promoting and honoring Tanzania producers or makers and their products acr

Swahili Mart is all about promoting and honoring Tanzania producers or makers and their products across all regions in the country.

Happy 58th Independence Day Tanzania.         🇹🇿
09/12/2019

Happy 58th Independence Day Tanzania.

🇹🇿

Kiongozi Birian MasalaAvailable on Swahili MartWeight: 500G📷 by
16/10/2019

Kiongozi Birian Masala
Available on Swahili Mart
Weight: 500G

📷 by

Kiongozi Roast MasalaAvailable on Swahili MartWeight: 500G📷 by
16/10/2019

Kiongozi Roast Masala
Available on Swahili Mart
Weight: 500G

📷 by

Kiongozi Cinnamon PowderAvailable on Swahili MartWeight: 500G 📷 by
16/10/2019

Kiongozi Cinnamon Powder
Available on Swahili Mart
Weight: 500G 📷 by

Aromatic Beans (Ready to eat)Available on Swahili Mart Weight: 1KG
15/10/2019

Aromatic Beans (Ready to eat)
Available on Swahili Mart
Weight: 1KG

Daphne Unga wa LisheAvailable on Swahili MartWeight: 1KG
15/10/2019

Daphne Unga wa Lishe
Available on Swahili Mart
Weight: 1KG

Vipodozi vingi huchanganywa na mafuta ya n**i, hii ni ili uweze kupata faida ambazo zinatokana na mafuta hayo.Lakini k**...
10/10/2019

Vipodozi vingi huchanganywa na mafuta ya n**i, hii ni ili uweze kupata faida ambazo zinatokana na mafuta hayo.

Lakini k**a ukitumia mafuta ya n**i ambayo ni asili na hayajachanganywa na chochote utaweza pata matokeo mazuri zaidi.
Fetty Coconut Oil ni mazuri kwaajili ya ngozi, nywele na yanafaa kwa watoto pia.

Tembelea website yetu na app link kwenye bio ili uweze kuagiza kiurahisi

Mama unayenyonyesha habari ya maziwa mepesi, machache zinaishia hapa. Tumia Fenugreeks Seeds kutoka kwa Mommyz Pride, it...
09/10/2019

Mama unayenyonyesha habari ya maziwa mepesi, machache zinaishia hapa. Tumia Fenugreeks Seeds kutoka kwa Mommyz Pride, itaongeza wingi wa maziwa ndani ya saa 24 na kufanya yawe mazito na itamfanya mtoto ashibe vizuri.

Tembelea website yetu na app yetu link kwenye bio ili uweze kuagiza bidhaa hii kiurahisi. 📷 by

Tunawapenda watoto wetu, na afya yao nifuraha yetu wazazi. Ni vizuri kununua unga wa uji wa watoto ulioandaliwa kwa kuzi...
08/10/2019

Tunawapenda watoto wetu, na afya yao nifuraha yetu wazazi. Ni vizuri kununua unga wa uji wa watoto ulioandaliwa kwa kuzingatia uwiano wa virutubishi.

Tembelea website yetu na app yetu link kwenye bio ili uweze kuagiza bidhaa hii kiurahisi. 📷 by

Hii pilipili Imetengenezwa kwa Embe carrot pilipili ndimu na tangawizi. Yote hii ni kukipa ladha nzuri chakula chako pal...
07/10/2019

Hii pilipili Imetengenezwa kwa Embe carrot pilipili ndimu na tangawizi. Yote hii ni kukipa ladha nzuri chakula chako pale unapoitumia.

Tembelea website yetu na app yetu link kwenye bio ili uweze kuagiza bidhaa hii kiurahisi. 📷 by

🌶️Chakula unachokula kinaweza kikawa hakina ladha nzuri, au umekosa kabisa hamu ya kula. Sasa ongeza hii pilipili na hak...
07/10/2019

🌶️Chakula unachokula kinaweza kikawa hakina ladha nzuri, au umekosa kabisa hamu ya kula. Sasa ongeza hii pilipili na hakika utafurahia chakula chako.😋 Tembelea website yetu na app yetu link kwenye bio ili uweze kuagiza bidhaa hii kiurahisi. 📷 by

Asali mbichi ya nyuki wakubwa, haijachanganywa na kitu chochote na ina ubora wa hali ya juu.Kwa kawaida unashauriwa kutu...
07/10/2019

Asali mbichi ya nyuki wakubwa, haijachanganywa na kitu chochote na ina ubora wa hali ya juu.

Kwa kawaida unashauriwa kutumia walau kijiko kimoja cha asali kwa siku. Waweza kutumia k**a mbadala wa sukari kwa kuweka kwenye chai, ukapaka kwenye mikate, ukapikia kufanya chakula chako kiwe na radha nzuri na tamu.

Tembelea website yetu na app yetu link kwenye bio ili uweze kuagiza.

Address

Survey
Dar Es Salaam

Telephone

+255789828005

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Mart posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Mart:

Share