02/07/2026
π Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! π
Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu.
πΌ Unaweza kutumia mkopo kwa:
β
Kuongeza bidhaa dukani
β
Kuongeza mtaji wa biashara
β
Kuboresha mzunguko wa fedha
β
Kukidhi mahitaji ya biashara kwa wakati
Kinachokufanya ustahiki mkopo ni namna unavyotumia SmartBusiness kurekodi mapato, matumizi na shughuli za biashara yako. Kadri biashara yako inavyokuwa na taarifa sahihi, ndivyo inavyokuwa rahisi kutathminiwa.
Ikiwa bado hujatumia SmartBusiness, huu ndio wakati wa kuanza kuweka kumbukumbu za biashara yako kidijitali na kujenga historia itakayokusaidia kupata fursa za kifedha.
Install SmartBusiness
Android: https://play.google.com/store/apps/details?id=sb.swahilibuy.com
iPhone: https://apps.apple.com/app/smartbusiness-bookkeeping-app/id6504250445