New life power tools

New life power  tools Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from New life power tools, Electronics Store, Dar es Salaam.

Discover the power of New Life Power Tools! πŸ› οΈ For quality tools and expert advice, contact us at 0623612166 Located in Dar es Salaam.

https://wa.me/message/5WYG2THXEDAHL1

Jipatie Heavyduty hammer Drill kwa 170,000/= Fullset0623612166 au 07400021661. Inazunguka mbele na nyuma.2. Inauwezo kwa...
16/10/2025

Jipatie Heavyduty hammer Drill kwa 170,000/= Fullset

0623612166 au 0740002166

1. Inazunguka mbele na nyuma.

2. Inauwezo kwa kutindua.

3. Ina drill kawaida na nyundo pia.

4. 950W very powerful.

5. Inatoboa mpaka bit ya 26mm.

6. Inakuja na head converter kwa ajili ya kuweka bit za kawaida.

7. Wire ni mrefu kukuwezesha kufanya kazi kwa uhuru.

0623612166

30/09/2025

πŸ”₯ INAUZWA – BRUSHLESS DRILL ORIGINAL πŸ”₯

Unatafuta drill imara na ya kisasa? Hii Brushless Drill ndio suluhisho πŸ‘Œ

βœ… Inafaa kwa kazi mbalimbali:
β€’ Fundi bomba 🚰
β€’ Fundi umeme πŸ”Œ
β€’ Gypsum & urembo πŸ› οΈ
β€’ Mbao & makabati πŸšͺ
na kazi nyingine nyingi.

βš™οΈ Sifa za Drill:

β€’ Imara sana, haishambuliwi na vumbi πŸ’¨
β€’ Haingizi maji πŸ’§ (water-resistant)
β€’ Ina taa ya mwanga kwa matumizi hata gizani πŸŒ™
β€’ Inakuja na betri 2 imara, zinakaa masaa 5–6 bila kukusumbua πŸ”‹πŸ”‹
β€’ Brushless motor – nguvu zaidi, maisha marefu πŸ’ͺ
β€’ 108V Li-ion Battery – nguvu ya uhakika ⚑
β€’ Inakuja na screw drive moja njundo tayari kwa matumizi πŸ”©

πŸ’° Bei: TSH 150,000 tu
πŸ“ Mahali: Dar es Salaam – Buza
πŸ“ž Wasiliana: 0623612166

πŸš€ Usikose hii ofa, chukua drill yenye ubora kwa bei nafuu!

27/08/2025

βΈ»

πŸ”₯ INAUZWA – BRUSHLESS DRILL ORIGINAL πŸ”₯

Unatafuta drill imara na ya kisasa? Hii Brushless Drill ndio suluhisho πŸ‘Œ

βœ… Inafaa kwa kazi mbalimbali:
β€’ Fundi bomba 🚰
β€’ Fundi umeme πŸ”Œ
β€’ Gypsum & urembo πŸ› οΈ
β€’ Mbao & makabati πŸšͺ
na kazi nyingine nyingi.

Sifa za Drill:
β€’ Imara sana, haishambuliwi na vumbi πŸ’¨
β€’ Ina taa ya mwanga kwa matumizi hata gizani πŸŒ™
β€’ Inakuja na betri 2 imara, zinakaa masaa 5–6 bila kukusumbua πŸ”‹πŸ”‹
β€’ Brushless motor – nguvu zaidi, maisha marefu πŸ’ͺ

πŸ’° Bei: TSH 135,000 tu
πŸ“ Mahali: Dar es Salaam – Mbagala Kilungure
πŸ“ž Wasiliana: 0623612166

Usikose hii ofa, chukua drill yenye ubora kwa bei nafuu! πŸš€

26/08/2025

⚑ INAUZWA – BRUSHLESS DRILL 21V – NGUVU, IMARA, NA HAIKOCHOSHI MIKONO ⚑

Unatafuta drill yenye nguvu, rahisi kutumia na inayoweza kufanya kazi nyingi? Hii ndio chaguo lako!

Sifa zake za kipekee:
βœ… Brushless motor 21V – nguvu kubwa na maisha marefu
βœ… Imara na haiathiriwi na vumbi – tumia popote bila hofu
βœ… Taa ya LED – kazi usiku bila shida
βœ… Inaweza toboa ukuta, mbao, na ukuta wa gypsum
βœ… Rahisi kushikilia, haichoshi mikono – kazi bila uchovu
βœ… Inaweza kubeba bits 9–10 – rahisi kubadilisha kwa kazi tofauti

πŸ“ Mahali: Mbagala, Kilungure
πŸ“ž Mawasiliano: 0623612166

Usikose hii nafasi! Drill moja, kazi zote!

08/05/2025

Laser Level 16 Lines – Bei Sh. 180,000*

Inapatikana *Mbagala, Dar es Salaam*, na tunatoa *Delivery Bure* kwa Dar es Salaam!

Laser Leveling machine kwaajili yaakunyooshea urembo wa gypsum, mikanda yake, tiles, madirisha saa ya kufitisha, socket na kazi zote za bomba za ndani Inakuja na stand yake na hanger ya kushikilia ukutani kwa kazi za juu.

*Sifa za Mashine:*
🟒- Laser level ya mistari *16* kwa usahihi wa juu.
🟒- Inakuja na *miwani ya mwanga* kwa matumizi bora.
🟒- *Battery mbili* za chaji (Inatumia betri kwa ufanisi mkubwa).
🟒- *Stand ya Meter 1*, *Stand ya Ukutani*, na *Stand ya Chini*.
🟒- Inakuja na *Toolbox* yake kwa ajili ya uhifadhi salama na urahisi wa kubeba.

*Mashine hii ni bora kwa matumizi ya:*
1️⃣- Mafundi umeme⚑️
2️⃣- Mafundi mabombaπŸͺ 
3️⃣- Mafundi tiles
4️⃣- Mafundi ujenziπŸ‘·β€β™‚οΈ
5️⃣- Mafundi madirisha na milangoπŸͺŸπŸšͺ
6️⃣- Mafundi singboard
7️⃣- Mafundi finishing
8️⃣- mafundi kuchapi
*Bei:* Tsh *180,000* tu!
Tunapatikana *mbagala, Dar es Salaam*
Kwa Dar es Salaam *Delivery Bure* 🚚
Kwa mikoani tunatuma kwa
*Mawasiliano:* Piga simu: *0623612166* au 0740002166

26/02/2025

𝑲𝑨𝑻𝑨 𝑡𝑨 𝑽𝑼𝑡𝑱𝑨 𝑽𝑰𝑢𝑢, 𝑻𝑰𝑳𝑬𝑺 𝑡𝑨 π‘ͺ𝑬𝑹𝑨𝑴𝑰π‘ͺ 𝑲𝑾𝑨 𝑼𝑹𝑨𝑯𝑰𝑺𝑰 𝑡𝑨 𝑼𝑭𝑨𝑡𝑰𝑺𝑰 𝑲𝑾𝑨 𝑺𝑻𝑨𝑰𝑳𝑰 𝑼𝑡𝑨𝒀𝑢𝑻𝑨𝑲𝑨 𝑡𝑨 𝑯𝑰𝑲𝑰 𝑲𝑰𝑭𝑨𝑨 π‘ͺ𝑯𝑨 𝑻𝑬𝑲𝑡𝑢𝑳𝑢𝑱𝑰𝑨 𝑴𝑷𝒀𝑨 πŸ› οΈ
... π—•π—˜π—œ 𝗬𝗔 𝗒𝗙𝗔 : 40000/= βœ…βœ…
..β³π—•π—œπ——π—›π—”π—” π—­π—œπ—žπ—’ π—–π—›π—”π—–π—›π—˜ 𝗦𝗔𝗑𝗔.... π—­π—œπ— π—˜π—•π—”π—žπ—œ π—£π—œπ—¦π—œ 𝟯0 𝗧𝗨.

πŸš› 𝐅𝐀𝐒𝐓 πƒπ„π‹πˆπ•π„π‘π˜+ πŒπ€π‹πˆππŽ 𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 π˜π€ πŒπ™πˆπ†πŽ πŠπ”π…πˆπŠπ€.

Je, unahitaji kufanya kazi za ujenzi, ukarabati wa Tailizi, au Urembo wa Vioo? Tunayo suluhisho bora kwako! Kifaa chenge kukupa Kazi Bora na Rahisi na Zaidi Ni kutunza muda na PESA.

🌟 π—žπ—œπ—™π—”π—” π—–π—›π—˜π—§π—¨ 𝗖𝗛𝗔 π— π—žπ—’π—‘π—’ π—žπ—œπ—‘π—”π—–π—›π—’π—žπ—”π—§π—” 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—©π—¨π—‘π—π—” π—©π—œπ—’π—’, π—§π—œπ—Ÿπ—˜π—¦, 𝗑𝗔 π—–π—˜π—₯π—”π— π—œπ—– π—‘π—œ π—–π—›π—”π—šπ—¨π—’ 𝗕𝗒π—₯𝗔 π—žπ—ͺ𝗔 π—žπ—”π—­π—œ π—­π—”π—žπ—’ π—­π—’π—§π—˜. π—žπ—œπ—žπ—œπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—§π—˜π—žπ—‘π—’π—Ÿπ—’π—π—œπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—¦π—”π—¦π—”,

βœ… Ufanisi wa Juu - Kata na uvunje kwa urahisi.
βœ… Usalama - Kazi zako zitakuwa salama na rahisi.
βœ… Ubora - Kifaa kinachodumu na kufanya kazi kwa muda mrefu.
β˜‘Ubebekaji ni Rahisi - kifaa kinachokupa urahisi Wa kubeba na Kufanya kazi POPOTE
β˜‘Ina Save Pesa - Kifaa kinachofanya kazi mbili kwa wakati mmoja na unakipata kea bei rafiki.

ππ€π‚πŠπ€π†π„ π˜π„π“π” πˆππ€πŠπ”π‰π” 𝐍𝐀:-
πŸ”Ήπ“πˆπ‹π„π’ 𝐂𝐔𝐓𝐓𝐄𝐑 π—πŸ
πŸ”Ήπ•πˆπ’π” π•πˆπ–πˆπ‹πˆ π•π˜π€ π™πˆπ€πƒπ€
πŸ”ΉCHUPA CHA KUWEKEA πŒπ€π…π”π“π€
πŸ”Ήπ’π‚π‘π„π– πƒπ‘πˆπ•π„π‘ 𝟏

πŸ“ž **Mawasiliano:**
- Simu: **0623612166** au **0740002166**
- **Mahali:** Dar es Salaam, Buza

Tunakujalie huduma bora na kifaa cha hali ya juu kwa mahitaji yako yote ya ujenzi na ukarabati. Wasiliana nasi leo! πŸ› οΈπŸ 

OFFER kwa Watakao wahi...Jipatie Spana Fullset kwa Tzs 135,000/=1. Sio udongo ni ngumu inahimili kazi ngumu2. Imekamilik...
22/02/2025

OFFER kwa Watakao wahi...

Jipatie Spana Fullset kwa Tzs 135,000/=

1. Sio udongo ni ngumu inahimili kazi ngumu

2. Imekamilika ina mikono miwili mkubwa na mdogo.

3. Combine ni kuanzia namba 6 mpaka 19

4. Spana Box ni kuanzia namba 4 mpaka 32

Sifa ya Fundi ni kuwa na Vifaa

0623612166

Tupo Buza Tanesco

Karibuni sana

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New life power tools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share