19/08/2019
Mwaka 2019, kuna njia nyingi ambazo unaweza kutumia kulipwa.
Watoa huduma kwenye jukwaa letu la Kiriza wanatumia njia mbili kuu kulipwa:
Benki na Mobile Money (k**a Airtel Money na kadhalika).
Tunashauri na kusisitiza kutokulipa kwa njia ya pesa mkononi (cash) kwa sababu:
ο Ni rahisi mtu kupoteza hela iliyo mkononi.
ο Ni rahisi mtu kuibiwa.
ο Ni vigumu kujua kiasi ulichobakiza mpaka uhesabu.
Njia zingine za kulipwa ni:
β’ Cellulant.
β’ Cheki.
β’ Mobile Money k**a T-pesa, Mpesa, Airtel Money, Halotel Pesa na Tigo Pesa.
β’ MaxMalipo, Selcom na Pesapal
β¦.
Chapisho hili limefupishwa, ungependa kujua zaidi kuhusu mada hii, subscribe kupitia: http://eepurl.com/cXvurP