22/08/2019
PATA SIKU 7 BURE KWA KUTUMIA HUDUMA YA BBC SWAHILI KWA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA!
GHARAMA ZA HUDUMA BAADA YA PROMOSHENI: TSH 100 /SIKU
UTANGULIZI
BBC Swahili ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari za kuaminika kuhusu jamii, uchumi na siasa kutoka sehemu mbalimbali Ulimwenguni.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na Huduma:
-Kupitia SMS
Tuma neno BBC kwenda 15596 kusajili huduma.
GHARAMA ZA USAJILI
-Kujisajili: BURE
-Siku 7 Bure kujisajili kwa mara ya kwanza: Tsh100/Siku baada ya promosheni.
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Instagram: vas_halotel