Bizy Tech

Bizy Tech 🌱 Growing smallholders & MSMEs' digital impact through 💸 affordable digital channels 📲

25/08/2026

Wishing the Muslim community a blessed Maulid Al-Nabi. 🌙

May this special day bring peace, unity and blessings to all.

Maulid Mubarak!

Je, ingekuwaje k**a kila mkulima wa mpunga angeweza kupata fedha, pembejeo bora, ushauri wa kilimo kupitia AI, taarifa z...
18/08/2026

Je, ingekuwaje k**a kila mkulima wa mpunga angeweza kupata fedha, pembejeo bora, ushauri wa kilimo kupitia AI, taarifa za udongo na masoko ya uhakika kupitia mfumo mmoja wa kidijitali?

Hiyo ndiyo fursa tunayofungua kupitia ushirikiano wa Rice Council of Tanzania, Bizy Tech na ARM, kupitia KILIMO BaNDO.

Ushirikiano huu unalenga kuunganisha mnyororo wa thamani wa mpunga:

Mkulima → Data → Fedha → Pembejeo → Ushauri wa AI → Uzalishaji → Soko → Ukuaji

Tunajenga mfumo unaomwezesha mkulima kupata huduma muhimu kwa wakati, kuongeza tija na kufanya kilimo kuwa biashara endelevu.

Haya ndiyo mageuzi ya kilimo kwa vitendo. 🌾

ARM

29/07/2026

Let’s Make a Change 💙

Kuleta mabadiliko si tu kuhusu kile tunachotoa bali pia ni kuhusu muda tunaotenga, upendo tunaoshiriki na nyakati zenye maana tunazounda pamoja.

Kupitia ziara yetu ya CSR katika Kituo cha Watoto Yatima Kisarawe tulishiriki furaha, michezo, chakula na muda pamoja na watoto tukitengeneza kumbukumbu nzuri na za kipekee.

Bizy Tech tunaamini kuwa kila tendo la upendo na kujali linaweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

Pamoja, Let’s Make a Change. 💙

17/07/2026

Who did it best? 🤔

15/07/2026

Nyuma ya kila suluhisho la Bizy Tech kuna timu ya wataalamu wenye ubunifu, weledi na kujituma wanaobadilisha changamoto za kilimo kuwa suluhisho za kidijitali zenye matokeo.

Je, ungependa kujua jinsi Bizy Tech inavyoweza kusaidia kukuza biashara au mradi wako? Wasiliana nasi leo kupitia 0673 333 595 na tuanze safari ya mafanikio pamoja.

07/07/2026

Bizy Tech inaendelea kuunga mkono ukuaji wa biashara na kilimo kupitia suluhisho za kidijitali k**a AgriMerchant inayowawezesha wafanyabiashara wa pembejeo kusimamia biashara zao kwa ufanisi zaidi, kuboresha huduma na kukuza fursa ndani ya mnyororo wa thamani wa kilimo. 🌱📲

Heri ya Miaka 50 ya Saba Saba! Tujenge Tanzania yenye biashara na kilimo chenye tija. 🇹🇿

27/05/2026

Bizy Tech tunawatakia Eid Al-Adha yenye furaha, upendo na matukio mema pamoja na wapendwa wenu. Eid njema!

Today, we celebrate the strength, resilience and love of mothers everywhere. 🌸To every mother nurturing families, commun...
10/05/2026

Today, we celebrate the strength, resilience and love of mothers everywhere. 🌸

To every mother nurturing families, communities and dreams thank you for your endless sacrifices and unwavering dedication. Your impact goes beyond generations.

Happy Mother’s Day from Bizy Tech. 💙

Proud to have participated in the Europe Day 2026 celebration under the theme “Gateway to Growth,” where innovation, par...
08/05/2026

Proud to have participated in the Europe Day 2026 celebration under the theme “Gateway to Growth,” where innovation, partnerships and sustainable development took center stage.

At our exhibition booth, we demonstrated how the KILIMO BaNDO ecosystem is digitally transforming agriculture in Tanzania from farmer onboarding and farm plot registration to soil health analysis, agronomic advisory and EUDR compliance for market access readiness.

We showcased how digitally registered farmers can get soil testing using portable soil test kits and instantly receive soil fertility analysis together with tailored recommendations to improve productivity and yields.

We also demonstrated how traceability and EUDR compliance pathways within the platform are helping prepare farmers and agribusinesses for access to EU markets. The session highlighted how smallholder farmers can transition into data-driven, compliant and market-connected agriculture all within one integrated ecosystem, starting with coffee farmers.

We were honoured by the visit of Hon. Judith Kapinga, Minister of Industry and Trade, who emphasized the importance of innovation, technology and collaboration in driving inclusive economic growth and Tanzania’s future competitiveness.

Our sincere appreciation to the and the for creating platforms that connect innovation with impact and open pathways for sustainable growth. We’re ready to scale this together. Let’s explore how KILIMO BaNDO can support your goals on EUDR compliance, digital agriculture and market access. Reach out to us - let’s collaborate.



Address

Senga Road, House No 15
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bizy Tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bizy Tech:

Shortcuts

Share