Vodacom Tanzania

Vodacom Tanzania Connecting Tanzania for a better future. Empowering people, businesses and communities through the power of connectivity

Vodacom is Tanzania's leading cellular network offering state-of-the-art communication services to more than 23 million customers.

18/09/2026

Kesho muelekeo ni mmoja tu. Tukutane Kijitonyama Postal Grounds kuanzia saa sita mchana.

Kesho ni siku yenyewe!Muda wa kusubiri umeisha. Kesho tunakutana Kijitonyama kwa ajili yambio za mbuzi 2026!Vaa outfit y...
18/09/2026

Kesho ni siku yenyewe!

Muda wa kusubiri umeisha. Kesho tunakutana Kijitonyama kwa ajili ya
mbio za mbuzi 2026!

Vaa outfit yako ya Safari Adventure, njoo na marafiki na familia.
19 Septemba 2026

Kijitonyama – Viwanja vya Posta (Postal Grounds)

Saa 6 Mchana – 4 Usiku

Pata tiketi yako kupitia Tiketika

Kesho ni siku yenyewe!Muda wa kusubiri umeisha. Kesho tunakutana Kijitonyama kwa ajili yambio za mbuzi 2026!Vaa outfit y...
18/09/2026

Kesho ni siku yenyewe!

Muda wa kusubiri umeisha. Kesho tunakutana Kijitonyama kwa ajili ya
mbio za mbuzi 2026!

Vaa outfit yako ya Safari Adventure, njoo na marafiki na familia.
19 Septemba 2026

Kijitonyama – Viwanja vya Posta (Postal Grounds)
Saa 6 Mchana – 4 Usiku

Pata tiketi yako kupitia Tiketika

Muziki, video, na marafiki  hiyo ndiyo VYB 🎢 Ingia kwenye ulimwengu wa burudani isiyokwisha na uzoefu wa Vodacom, MB 492...
18/09/2026

Muziki, video, na marafiki hiyo ndiyo VYB 🎢

Ingia kwenye ulimwengu wa burudani isiyokwisha na uzoefu wa Vodacom, MB 4920 ikiwa tayari kwa TZS 25,000/mwezi.

Anza kwa *149*01 #.

17/09/2026

Msafara wetu umetua Babati, Manyara

Kutoka sokoni hadi shambani, hapa watu hawasubiri fursa..wanazifuata. Na sisi tumefika kuhakikisha mtandao unawafuata pia. Ukituona mtaani, sogea. Kuna internet ya bure, zawadi na mengi zaidi yanayokusubiri.

Kwa sababu Zaidi ya Mtandao ni Maisha Yanayosonga Mbele.

Kwa mwaka wa nne mfululizo, Vodacom Tanzania inaungana naRotary Club of Dar es Salaam Oysterbay k**a mdhamini mkuu waMbi...
17/09/2026

Kwa mwaka wa nne mfululizo, Vodacom Tanzania inaungana na
Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay k**a mdhamini mkuu wa
Mbio za mbuzi (The Goat Races) 2026.

The Goat Races si mbio za mbuzi tu. Ni siku inayowakutanisha watu kwa
ajili ya burudani, huku ikichangia fursa na maendeleo katika jamii.

Kupitia The Goat Races, msaada unaelekezwa kwenye elimu kupitia
ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na mafunzo ya
ufundi, kuboresha mazingira ya kujifunzia, afya, maji na usafi,
pamoja na miradi ya maendeleo ya jamii.

19 Septemba 2026
Kijitonyama – Viwanja vya Posta (Postal Grounds)
Saa 6 Mchana – 4 Usiku

Pata tiketi yako kupitia Tiketika

Barua ilikuwa inapita mikono mitatu kabla haijafika kwa mlengwa πŸ˜‚πŸ˜‚. Halafu katika hao watatu kuna mmoja wao alikuwa anas...
17/09/2026

Barua ilikuwa inapita mikono mitatu kabla haijafika kwa mlengwa πŸ˜‚πŸ˜‚. Halafu katika hao watatu kuna mmoja wao alikuwa anasoma.
Sasa ujumbe unatoka kwako, unaenda kwake… sekunde tu.

Wewe ulikuwa upande gani? Mwandishi, mpelekaji au msomaji? πŸ˜‚

Pata zaidi na betri ya Neon Ultra 2, inayokuwezesha kuendelea na shughuli zako kutoka asubuhi hadi jioni, bila wasiwasi ...
16/09/2026

Pata zaidi na betri ya Neon Ultra 2, inayokuwezesha kuendelea na shughuli zako kutoka asubuhi hadi jioni, bila wasiwasi wa chaji. πŸ”‹πŸ“±

Kwa TZS 175,000 tu + 60GB kwa miezi 12! Tembelea duka la Vodacom kupata yako leo.

Unatumia simu yako kwa kitu gani ambacho si cha kawaida?Simu yako inaweza zaidi ya kupiga na kutuma ujumbe. Wengine wana...
15/09/2026

Unatumia simu yako kwa kitu gani ambacho si cha kawaida?

Simu yako inaweza zaidi ya kupiga na kutuma ujumbe. Wengine wanaitumia k**a kioo. Wengine k**a tochi. Wengine k**a k**a kengele πŸ˜‚πŸ˜‚

14/09/2026

Tunawashukuru kwa kuendelea kuwa nasi, kwa sababu pamoja, tunaweza kuwa Zaidi ya Mtandao.⁣
⁣

Address

Ursino Estate
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vodacom Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vodacom Tanzania:

Shortcuts

Share