26/07/2026
π© Unahitaji picha moja tu au video moja tu, lakini unaambiwa ulipie subscription ya mwezi mzima?
Kwa Video Editors, Graphic Designers na Content Creators wengi, hili ni tatizo la kila siku. Unahitaji template moja, video moja au picha moja kutoka Freepik, iStock au Envato, lakini gharama ya subscription inaweza kuwa kubwa kuliko kazi yenyewe.
π― Oasis Shop tumekuletea suluhisho!
Hakuna haja ya kulipia mwezi mzima wakati unahitaji file moja tu.
Lipa unachohitaji tu, bila gharama zisizo za lazima.
π Wasiliana nasi leo:
0622 929 972
0772 929 972