JWM Technologies Limited

JWM Technologies Limited Electrical, Electronics and ICT Solutions

>Je una hitaji GPS Tracking System kwa ajili ya usalama wa Chombo chako cha Moto?> Tupigie 0659336839"We bring technolog...
29/01/2025

>Je una hitaji GPS Tracking System kwa ajili ya usalama wa Chombo chako cha Moto?

> Tupigie 0659336839

"We bring technologies close to you"

kutokana na majanga ya moto kuzuka kila kukicha JWM wanakuletea system ya fire alamhii system itakusaidia pindi tu moto ...
10/10/2022

kutokana na majanga ya moto kuzuka kila kukicha JWM wanakuletea system ya fire alam

hii system itakusaidia pindi tu moto unapotokea, utakapokua kwenye hatua za awali ina uwezo wa kunusa moshi au kuhisi kiwango kikubwa cha joto lililopitiliza moja kwa moja itakupa taarifa, kwa kupiga alam na hivyo utajiweka tayari kupambana na moto ambao haujaanza kusambaa.

Lakin pia ikiwa uko mbali na nyumbani itakupigia simu na kukutumia sms.

Ijali nyumba yako na uiweke katika usalama. Ni rahisi sana wasiliana nasi tutakufikia popote ulipo.

JWM TECHNOLOGIES.Kwa huduma Za GPS VEHICLE TRACKING _______________^_________1. LIVE LOCATION TRACKING 2.  DRIVING BEHAV...
14/01/2022

JWM TECHNOLOGIES.

Kwa huduma Za GPS VEHICLE TRACKING

_______________^_________
1. LIVE LOCATION TRACKING
2. DRIVING BEHAVIOUR
3. LIVE ALERTS
4. REPORTS & ANALYTICS
________________________
Tupigie leo uone tofauti.

+255 659 336 839
________________________

Location. Sinza Mapambano.

________________________

⚡Unahitaji GPS Tracking system Kwaajili ya  usalama wa Vyombo vyako vya moto,⚡Unahitaji Security systems kwaajili ya Usa...
21/09/2021

⚡Unahitaji GPS Tracking system Kwaajili ya usalama wa Vyombo vyako vya moto,
⚡Unahitaji Security systems kwaajili ya Usalama wa Nyumba au office yako .
⚡Unahitaji Technology service kwaajili ya matumizi ya nyumbani au offisini.

JWM TECHNOLOGIES WAPO KUKUFANIKISHIA HILO
Tupigie leo........................................
📞+255 767 884 328

Pata huduma itakayokupa taarifa za mwenendo wa gari lako au pikipiki yako. -Mahali lilipo -Mwendokasi-Historia yote maha...
28/05/2017

Pata huduma itakayokupa taarifa za mwenendo wa gari lako au pikipiki yako.
-Mahali lilipo
-Mwendokasi
-Historia yote mahali lilipotembea au kusimama
-Umbali liliotembea kwa Kilometa
Taarifa zote hizi kupitia simu yako ya mkononi au computer yako.

Maintenance and repair for 20KVA/16KW uninterrupted power supply unit.
25/05/2017

Maintenance and repair for 20KVA/16KW uninterrupted power supply unit.

For only 50,000/= fixed price. Call: 0783784328
10/03/2017

For only 50,000/= fixed price. Call: 0783784328

01/01/2017

Heri ya mwaka mpya 2017 kwenu nyote. Tunategemea kuendelea kuwapa huduma bora kabisa kwa mwaka huu 2017. Asante sana

Address

Mapambano, Nzasa-Kijitonyama House No. 7, Plot No. 509, Block 46
Dar Es Salaam
P.O.BOX62159

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JWM Technologies Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share