Safari Electro

Safari Electro A one-stop shop for electronics and more

MEZA NA KITI CHAKE KWA MSOMI MTOTOUmri wa miaka 4 hadi 17 ni wanufaika wa samahi hii adimu. Elimu bora inaenda sambamba ...
02/07/2025

MEZA NA KITI CHAKE KWA MSOMI MTOTO

Umri wa miaka 4 hadi 17 ni wanufaika wa samahi hii adimu. Elimu bora inaenda sambamba

Unapata meza na kiti chake kwa bei ya sh 199,999/= tu. Mtoto wako anastahili.

WhatsApp 0777873443

Karibu.

BRAND NEW 61 KEYS LEARNING/TEACHING KEYBOARD‼️OFFER, OFFER, OFFER‼️Kinanda hiki unakipata kwa sh 369,999/= tu.  Free del...
15/05/2025

BRAND NEW 61 KEYS LEARNING/TEACHING KEYBOARD

‼️OFFER, OFFER, OFFER‼️

Kinanda hiki unakipata kwa sh 369,999/= tu. Free delivery popote ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

BRAND NEW 61 KEYS TOUCH RESPONSE KEYBOARD‼️OFFER, OFFER, OFFER‼️Kinanda hiki unakipata kwa sh 499,999/= tu. Unalipa na k...
15/05/2025

BRAND NEW 61 KEYS TOUCH RESPONSE KEYBOARD

‼️OFFER, OFFER, OFFER‼️

Kinanda hiki unakipata kwa sh 499,999/= tu. Unalipa na kubeba papo hapo.

Huduma ya delivery ni popote ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Karibu.

88 KEYS WEIGHTED ELECTRIC PIANOIna feature zote za kisasa ikiwemo MIDI functions.Tsh 1,699,999/= tu. Delivery ni popote ...
14/05/2025

88 KEYS WEIGHTED ELECTRIC PIANO

Ina feature zote za kisasa ikiwemo MIDI functions.

Tsh 1,699,999/= tu. Delivery ni popote nchini.

Location: Dar Es Salaam & Pwani(kibaha)

Karibu.

88 KEYS ELECTRONIC DIGITAL PIANOPiano hii ni weighted/hammer action na ina features zote za kisasa ikiwemo MIDI function...
24/01/2025

88 KEYS ELECTRONIC DIGITAL PIANO

Piano hii ni weighted/hammer action na ina features zote za kisasa ikiwemo MIDI function na inakuja na stereo speaker mbili zenye nguvu.

Tsh 1,499,999/= tu. Delivery popote nchini. Unalipa na kubeba papo hapo.

Location: Kibaha, Pwani.

MEZA NA KITI BORA KABISASet hii ya meza na kiti imeundwa kwa material imara ya mbao na chuma na inavutia kwa msomi mtoto...
14/01/2025

MEZA NA KITI BORA KABISA

Set hii ya meza na kiti imeundwa kwa material imara ya mbao na chuma na inavutia kwa msomi mtoto anapoketi kutafuta maarifa.

Meza na kiti vinaweza kuongezwa na kupunguzwa kimo ili kuendana na umbo la mtoto msomi.

Elimu bora inaenda sambamba na miundombinu bora ya kujifunzia.

Tsh 199,999/= tu.

WhatsApp
0777873443

Karibu.

Piano hii ni weighted/hammer action na ina features zote za kisasa ikiwemo MIDI function.Tsh 1,499,999/= tu. Delivery po...
23/10/2024

Piano hii ni weighted/hammer action na ina features zote za kisasa ikiwemo MIDI function.

Tsh 1,499,999/= tu. Delivery popote nchini. Unalipa na kubeba papo hapo.

Location: Kibaha

11/09/2024
HIGH POWER HEAVY DUTY COMMERCIAL BLENDER: KAZI YAKO KUZIVUA MFUKO TUZOTE MBILI KWA BEI MOJAHizi ndio blenda kubwa zaidi ...
11/09/2024

HIGH POWER HEAVY DUTY COMMERCIAL BLENDER: KAZI YAKO KUZIVUA MFUKO TU

ZOTE MBILI KWA BEI MOJA

Hizi ndio blenda kubwa zaidi zinazofanya kazi ngumu za jikoni kwa muda mfupi sana.

○ Capacity: 4(Lita nne)
○ Power: 2800w max
○ Speed: 6 gear
○ Unbreakable jar
○ Inasaga na kuponda chochote kinachopita mdomoni.

Tsh Tsh 320,000/= tu. Free delivery popote nchini.

Karibu.

61 KEYS TEACHING KEYBOARDKeyboard hii ni maalum kwa wanaoanza kupiga kinanda(beginner) na watu wa rika zote wanaweza kun...
19/04/2024

61 KEYS TEACHING KEYBOARD

Keyboard hii ni maalum kwa wanaoanza kupiga kinanda(beginner) na watu wa rika zote wanaweza kunufaika nacho.

Tsh 360,000/= tu. Free delivery kwa Dsm na maaeneo yote ya jirani.

Karibu.

MSOMI NYUMBANI:  MEZA NA KITI KWA MAENDELEO BORA YA ELIMU KWA KIJANA WAKOElimu bora inaenda sambamba na nyenzo. Meza na ...
24/03/2024

MSOMI NYUMBANI: MEZA NA KITI KWA MAENDELEO BORA YA ELIMU KWA KIJANA WAKO

Elimu bora inaenda sambamba na nyenzo. Meza na kiti hiki ni moja ya nyenzo inayoweza kumfanya kijana wako akafurahia elimu awapo nyumbani.

Meza na kiti ni imara sana. Material yaliyotumika ni metal na mbao ngumu. Msomi wa miaka 4 hadi 16 ananufaika kielimu anapoketi hapo.

Tsh 199,999/= tu. Ukichukua zaidi ya katoni moja usafiri ni bure popote nchini.

Karibu.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safari Electro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category