TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD

TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD Speed,Quality and integrity

Electrical Fence Energizer πŸ”₯βœ… LCD display βœ… Easy installation βœ… App connection βœ… Built in Gate Alarm input βœ… Remote cont...
14/09/2026

Electrical Fence Energizer πŸ”₯
βœ… LCD display
βœ… Easy installation
βœ… App connection
βœ… Built in Gate Alarm input
βœ… Remote control
Available in our showrooms
πŸ“ Lufungira,Mwenge Dar es salaam and Dodoma, Uhindini street
πŸ“± 0754247576
#

11/09/2026

Karibu Tera Technologies kwa huduma bora za kidijitaliπŸ”₯, tunakupa huduma bora kwa bei nafuu sana .
πŸ“ Tupo Lufungira , Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
☎️ 0754247576

πŸ’³ Rahisisha biashara yako kwa POS System!Fuatilia mauzo, bidhaa na stock yako kwa urahisi, sehemu moja. πŸ“ŠFanya biashara ...
09/09/2026

πŸ’³ Rahisisha biashara yako kwa POS System!
Fuatilia mauzo, bidhaa na stock yako kwa urahisi, sehemu moja. πŸ“Š
Fanya biashara kwa urahisi. Fanya biashara kwa ufanisi. πŸš€
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
☎️ 0754247576

Tanzania

07/09/2026

IT’S MONDAY AGAINπŸ”₯
Karibu ututembelee kwenye Maduka yetu ujipatie bidhaa na huduma bora kwa bei nafuu kabisa, K**a vile ;
βœ… CCTV camera
βœ… Access control services
βœ… Fire and Intuder alarm systems
βœ… structured cablings
βœ… Vehicle Tracking systems
βœ…Software solution etc.
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
☎️ 0754247576

03/09/2026

Usihatarishe usalama na ufanisi wa mfumo wako kwa kutumia cable zisizo na viwango.Chagua cable zenye ubora na viwango kutoka Tera Technologies β€” kwa uhakika, uimara, performance bora na tunakupa warranty hadi ya miaka 10.
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
☎️ 0754247576

Usipate shida Tena ya Kwenda kufunga geti lako bila kujua ni Nani anayekugongea na anahitaji nini!?, sababu Tera Technol...
01/09/2026

Usipate shida Tena ya Kwenda kufunga geti lako bila kujua ni Nani anayekugongea na anahitaji nini!?, sababu Tera Technologies tumekueletea Video intercom zitakazokuwezesha kumuona na kuongea na Mgeni wako Mubushara kabisa, lakini pia video intercom utakuongezea ulinzi na usalama wa Mali zako .
πŸ“ Tupo Lugungira, Mwenge Dar es Salam na Dodoma Uhindini street
☎️ 0754247576

TERA DIHIMUDIFIER Tera Dehumidifier husaidia kudhibiti kiwango cha unyevunyevu hewani na kulinda mazingira yako dhidi ya...
27/08/2026

TERA DIHIMUDIFIER
Tera Dehumidifier husaidia kudhibiti kiwango cha unyevunyevu hewani na kulinda mazingira yako dhidi ya madhara yanayosababishwa na unyevu mwingi.

βœ… Faida zake:
β€’ Hupunguza unyevunyevu mwingi hewani
β€’ Husaidia kuzuia ukungu (mold) na harufu ya unyevu
β€’ Hulinda vifaa vya elektroniki na samani dhidi ya unyevunyevu
β€’ Husaidia kuhifadhi bidhaa na vifaa katika hali bora

πŸ“ Inatumika wapi?
Nyumbani
Ofisini
Hoteli
Hospitalini
Viwandani
Maghala na maeneo ya kuhifadhia bidhaa
Vyumba vya server na vifaa vya TEHAMA
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma Uhindini street
πŸ“± 0754247576

Heri ya sikukuu ya Maulid kwako na familia yako.
25/08/2026

Heri ya sikukuu ya Maulid kwako na familia yako.

24/08/2026

Ukiwa na Tera Track hauna mashaka kuhusu chombo chako kuibiwaa, sababu Tera Track tunakuhakikishia usalama wa chombo chako kwa 100% bila Kusahau bei zetu ni nafuu sana na Tunakufikia popote pale Tanzania .
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es Salaam na Dodoma Uhindini street
☎️ 0754246576

KUTOKA SITE πŸ”₯Mfundi wetu wakiwa site kuhakikisha tunaendelea kukupa Kitu kilichobora zaidi ya matarajio yako, tunafanya ...
20/08/2026

KUTOKA SITE πŸ”₯
Mfundi wetu wakiwa site kuhakikisha tunaendelea kukupa Kitu kilichobora zaidi ya matarajio yako, tunafanya kazi kwa kuzingatia ubora wa kimataifa.

Address

Sinza Block A, Opp. Mlimani City Shopping Mall, Block No. 173, Off Sam Nujoma Road, P. O BOX 31257, Tel:+255 22 2701612
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share