TOT Techs

TOT Techs Washauri na Wataalamu wa Teknolojia | Computers | Phones | Softwares | ICT Security | ICT Hardware
Follow us on Twitter

Mjini Posta
19/11/2021

Mjini Posta



Kijana mdogo wa miaka 12 raia wa UK, Benyamin Ahmed ametengeneza digital artwork iitwayo Weird Whales na kuuza k**a NFT ...
29/08/2021

Kijana mdogo wa miaka 12 raia wa UK, Benyamin Ahmed ametengeneza digital artwork iitwayo Weird Whales na kuuza k**a NFT ( Non-Fungible Token) kwa bei ya £290,000 sawa na Tsh 925,650,662 aliamua kuzitunza k**a Ethereum, aina ya cryptocurrency.

THE FUTURE IS DIGITAL

Huenda bei za iPhone 13 zikazidi 5M sababu ya ongezeko la 20%13 Pro Max: 6GB of RAM‌128GB storage – ($1,437)512GB storag...
29/08/2021

Huenda bei za iPhone 13 zikazidi 5M sababu ya ongezeko la 20%

13 Pro Max: 6GB of RAM

‌128GB storage – ($1,437)
512GB storage – ($1,746)
1TB storage – ($2,179 )

iPhone 13 Pro: 6GB of RAM
128GB storage –($1,313)
512GB storage –($1,622)
1TB storage –($2,055)

13 mini: 4GB of RAM
64GB storage – ($850)
128GB storage – ($927)
256GB storage – ($1,051)

iPhone 13: 4GB of RAM
64GB storage – ($973)
128GB storage – ($1,051)
256GB storage – ($1,174)

Inasemekana hizo ndio bei zake, kwa maduka ya Tanzania bei hutofautiana kulingana na muuzaji.
Source: GizChina

Karibu kwenye jukwaa la  kule Twitter tukujuze kuhusu Artificial Intelligence
21/08/2021

Karibu kwenye jukwaa la kule Twitter tukujuze kuhusu Artificial Intelligence

Bizon X5000 Threadripper ( Desktop Computer)256GB of RAM four Quadro RTX 8000 GPU’s 4TB PCIe 4.0 boot drive42TB NVMe 3.0...
20/08/2021

Bizon X5000 Threadripper ( Desktop Computer)

256GB of RAM
four Quadro RTX 8000 GPU’s
4TB PCIe 4.0 boot drive
42TB NVMe 3.0 secondary drives
56TB of hard disk storage

Tsh 115,833,900.15

Xiaomi wanaupiga mwingi sana kwenye mauzo, August 16th walianza rasmi mauzo ya Xiaomi Mi Pad 5 na waliweza kuuza units z...
20/08/2021

Xiaomi wanaupiga mwingi sana kwenye mauzo, August 16th walianza rasmi mauzo ya Xiaomi Mi Pad 5 na waliweza kuuza units zote 200,000 za awamu ya kwanza ndani ya dakika tano za mauzo, awamu ya pili imeanza leo na zaidi ya $30.88 million zilipatikana ndani ya dakika 1 ya mauzo.

Week iliyopita CEO wa Xiaomi Lei Jun alitambusha simu mpya ya Xiaomi Mi Mix 4, Leo ilianza kuuzwa rasmi na imechukua Dak...
17/08/2021

Week iliyopita CEO wa Xiaomi Lei Jun alitambusha simu mpya ya Xiaomi Mi Mix 4, Leo ilianza kuuzwa rasmi na imechukua Dakika moja tu kuuza simu zote za Mi Mix 4 (was sold out within 1 Minute of sales) zaidi ya $ 46.31 Million zilipatikana ndani ya sekunde ya kwanza ya mauzo

Awamu nyingine ya mauzo itatangazwa baadae kutokana na uhaba wa Processor ya Snapdragon 888+ na uhaba wa glass ya Ceramic iliyotumika kutengeneza Body ya simu hiyo

8GB+128GB – ($772) ~ 1.7M
8GB+256GB – ($818) ~ 1.9M

12GB+256GB –($895) ~ 2.1M

12GB+512GB – ($972) ~ 2.3M

Hizi picha zimepigwa huko Barani Asia kwa kutumia simu za Samsung S21 Ultra na Huawei P50 Pro.Kwa upande wako ipi imefan...
13/08/2021

Hizi picha zimepigwa huko Barani Asia kwa kutumia simu za Samsung S21 Ultra na Huawei P50 Pro.

Kwa upande wako ipi imefanya bora?

💨 Jana 11.08.2021 Samsung walizindua simu zao za Samsung Z Fold 3 5G na Z Flip 3 5G zote zikiwa zimetumia chipset ya Sna...
12/08/2021

💨 Jana 11.08.2021 Samsung walizindua simu zao za Samsung Z Fold 3 5G na Z Flip 3 5G zote zikiwa zimetumia chipset ya Snapdragon 888 kutoka Qualcomm Marekani.

Pia Z Fold 3 inakuwa ni simu ya kwanza ya Samsung kuwa na Camera iliyondani ya display (Under-display camera).

Hizi ndizo bei elekezi 👇

▪️Z Fold 3 (12/256) Tsh. 4.1 Milioni
▪️Z Fold 3 (12/512GB) - Tsh. 4.4 Milioni

🔸Z Flip 3 (8/128GB) - Tsh. 2.3 Milioni
🔸Z Flip 3 (8/256GB) - Tsh. 2.4 Milioni

Transsion Holdings ndiyo kampuni mama inayozimiliki Tecno mobile, Infinix, itel, oraimo, Boomplay na Carlcare services.I...
11/08/2021

Transsion Holdings ndiyo kampuni mama inayozimiliki Tecno mobile, Infinix, itel, oraimo, Boomplay na Carlcare services.

Ilianzishwa huko Hong Kong na sasa inafanya shughuli zake nyingi Shenzhen, China na jijini Paris, Ufaransa.

Leo tarehe 10.08.2021 .global amezindua simu yao ya Mi Mix 4 huko China hii ikiwa ni baada ya miaka 2 (2019) walipoizind...
10/08/2021

Leo tarehe 10.08.2021 .global amezindua simu yao ya Mi Mix 4 huko China hii ikiwa ni baada ya miaka 2 (2019) walipoizindua Mi Mix 3. Wamepiga hatua zaidi ya mara nne kulinganisha na toleo lililopita.

Mi Mix 4 ina Under-display selfie camera, ni simu ya kwanza duniani kutumia Chipset ya Snapdragon 888+ kutoka Marekani, kwa upande wa kupokea chaji inatumia dakika 15 pekee kufikisha 100% kwa chajio la waya (120W), ina camera kuu yenye 108MP na ya mbele 20MP.

.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TOT Techs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share