ChapChap Phone Repair

ChapChap Phone Repair Fundi Simu na Computer aina zote

MATATIZO 5 YANAYOIKUMBA SAMART PHONE.1. KIOO- Sehemu kubwa ya smartphone imetawaliwa na kioo kitu ambacho ni rahisi kupa...
07/02/2024

MATATIZO 5 YANAYOIKUMBA SAMART PHONE.
1. KIOO- Sehemu kubwa ya smartphone imetawaliwa na kioo kitu ambacho ni rahisi kupata uharibifu. Smartphone ikifa kioo mambo haya huweza kutokea
a) simu kuacha kutachi au kutachi kwa kuruka ruka
b) Simu kutoonesha kitu chochote
C) kioo kupoteza mwanga wake asilia au kupoteza rangi yake.
D) Simu kuweka rangi ya blue au nyeusi lakini unasikia simu ikiita au kutoa mlio wa kutachi wakati hakuna unachoona.
2. MFUNIKO
mfuniko wa nyuma ya simu unaweza kupasuka au kuchakaa na kuleta muonekano mbaya kwenye simu au mfuniko kupoteza control nobe za kuwashia na za kupunguza na kuongeza sauti.
3. CHARGING SYSTEM
smartphone ikifa charginging sytem yafuatayo hutokea Simu kuonyesha inacharge lakini asilimia haziongezeki Simu kutocharge kabisa wala kutoonesha alama ya charge. Simu kucharge na kutojaza asilimia mia k**a kawaida. Simu kupata moto makali wakati wa kuchaji. Simu kuleta question mark au alert nyingine ikiwa kwenye charge. Simu kuzima ikiwa imechomwekwa charge.
4. WATER DAMAGE
hii hupelekea smartphone kuzima au kuua baadhi ya mifumo k**a vile sauti na network.
5. PASSWORD AND LOCKS
mara nyingine simu inaweza ikajifunga yenyewe au ikasahaurika password na mtumiaji kushindwa kufungua au matatizo mengine ambayo yakahitaji SOFTWARE.
Tunatatua matatizo yote ya Simu pamoja na kutoa ushauri bure kwa mambo yanayohusiana na simu.
Karibuni sana tupo kariakoo mataa ya uhuru jengo la infinix. Na tunapatikana kwa simu 0763136341.

Dalili za  betri ya smartphone kufa. Dalili ya 5 ni muhimu sana.1. Betri kuisha haraka.  Kwa siku unachaji zaidi ya mara...
07/02/2024

Dalili za betri ya smartphone kufa. Dalili ya 5 ni muhimu sana.
1. Betri kuisha haraka. Kwa siku unachaji zaidi ya mara tatu.
2. Simu kupata moto mkali wakati upo mtandaoni na matumizi mengine.
3. Simu kuzima na kuwaka hasa unapokuwa uko hewani unaongea.
4. Simu kutokuwaka kabisa hasa ukiweka charge haipeleki.
5. Simu kuvimba na kuinuka sehemu ya nyuma na kutengeneza shepu ya tumbo hata k**a hainyonyeshi dalili zingine.
6. Simu kuzima na asilimia chini ya kumi na tano ila ikiwaka ina asilimia zaidi 30.
7. Kwa simu za Iphone kwenye betri health kuandika neno SERVICE.
Ukiona dalili hizo ujuwe wakati wa kubadili betri unefika kabla simu haijapata madhara mengine.
Tafadhari wasiliana nasi mapema kupitia namba hii 0763136341.
Tunpo kariakoo mataa ya uhuru jengo la infinix.

Call/WhatsApp 0763136341.Tunauza na kubadirisha vioo vya simu.SamsungIPhone Google Pixel Tunapatikana kariakoo mataa ya ...
08/01/2024

Call/WhatsApp 0763136341.
Tunauza na kubadirisha vioo vya simu.
Samsung
IPhone
Google Pixel
Tunapatikana kariakoo mataa ya uhuru jengo la infinix.

Tunatengeneza Simu na Computer  aina zote.Gharama zetu ni nafuu sana.Tunapatikana wakati woteCont: 0763136341          0...
18/12/2023

Tunatengeneza Simu na Computer aina zote.Gharama zetu ni nafuu sana.Tunapatikana wakati wote
Cont: 0763136341
0676346513
Karibuni sana
Kumbuka ukibadiri Kioo tunakubandikia protecta bureeeee.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255676346513

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ChapChap Phone Repair posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ChapChap Phone Repair:

Share