Salt Media.online

Salt Media.online Salt Media is a Multi media Content production

08/06/2026

πŸ”₯ HAKUNA PESA YA HARAKA MTAANI! KIZAAZAA KIMEANZA! πŸ”₯ CHINGA EPISODE 7

Kwenye Episode hii ya 7 mambo ni moto, na siri nzito zinaendelea kufichuka!

Je, msamaha unaweza kufuta maumivu ya kifo? Maximus anajikuta kwenye wakati mgumu sana anapokaa uso kwa uso na Mzee Chuma kuomba msamaha wa makosa yake ya zamani yaliyosababisha vifo kwenye familia. Je, Mzee Chuma atakubali yaishe?

πŸ‘‡ TAZAMA FULL EPISODE HAPA CHINI NA TUAMBIE KWENYE COMMENTS, USHAWAHI KUTAPELIWA NA HIZI ISHU ZA KUPANDA MBEGU? πŸ‘‡

01/06/2026

Mambo ni moto kwenye Episode ya 6 ya CHINGA! πŸ”₯ Jane anapitia kipindi kigumu sana baada ya kunasa ujauzito, na cha kusikitisha... wanaume aliowategemea (Zuberi na Rashid) wamemruka kavukavu na kumuachia msala njiani! 😭

Je, nini kitatokea? Fuatilia mfululizo wa series hii hapa hapa kwa uhondo zaidi.

26/05/2026

Bringing a grand vision to life takes more than just an idea it takes precision, coordination, and expert project management.

At Salt Media, we specialize in high end commercial and corporate video production. We bridge the gap between rich traditions and modern progress, taking your brand's blueprint and turning it into a cinematic reality.

Whether you need a massive commercial shoot, documentary, or corporate campaign, we oversee every single detail. We manage the process so you can celebrate the result.

πŸ‘‰ Ready to Be Bold? Contact us today to discuss your next project:
Phone: +255 743838553
Email: [email protected]

22/05/2026

Hapa visingizio vyote vimegonga mwamba! πŸ˜‚πŸ˜‚ K**a unamjua mtu mtaani kwako anafanana tabia na huyu mzee, mtaje hapa aje ajionee! πŸ‘‡πŸΎπŸ”₯

Full inapatikana youtube .online

22/05/2026

Mambo yamepamba moto kwenye Episode 5! πŸ”₯ Huku Mzee Chuma akitoa onyo zito la kiafya kwa vijana, Chinga anadaka mchongo wa mamilioni wa kuwauzia watalii vinyago. Lakini je, hili ni dili la kweli la kutoboa au ndio utapeli wa mjini? πŸ€”πŸ’Έ

Tazama mwanzo mwisho kujua kinachoendelea na tuachie comment yakoβ€”unahisi Chinga atapigwa kwenye hili dili? πŸ‘‡

15/05/2026

Mambo ni πŸ”₯! Wakati wengine wanapiga kazi sokoni, kuna mtu anapigwa matukio kwenye simu πŸ€£πŸ“ž. Itakuwaje? Chinga EP 4 imetoka, ifuatilie sasa youtube na facebook .online

15/05/2026

Chinga katika ubora wake! Leo ameingia kwenye mtego wa panya bila kujua. πŸ˜‚ Huku kuna mambo ya 'pazia' na 'mvua ya ndani'.

K**a unataka kucheka mpaka basi, hii hapa ni kwa ajili yako! 🍿🎬

08/05/2026

Umeachana na mitumba, umerudi kwenye nini tena? πŸ˜… Mambo ya mtaani kwenye Episode 3 ya CHINGA yanaendelea!

Jamaa anasema maisha kuwa magumu ni "mabadiliko ya tabia nchi." Wewe unakubaliana na hili au ni vyuma tu vimekaza? Dondosha comment yako hapa chini tuone hali za mitaa mbalimbali!

04/05/2026

Ukiwa huna hela mjini, hata salamu inaweza kuwa kosa! πŸ”₯πŸ˜‚ Chinga amekutana na kisanga cha mwakaβ€”kushoto anadaiwa, kulia anazinguliwa. Kwenye hii mikasa ya uswahilini, mapenzi, na harakati za kuuza viatu, atatoboa kweli? Hebu jionee mwenyewe jinsi mambo yalivyopamba moto! πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸ’¨

Usisahau ku-tag mshikaji wako ambaye mishe zake zinakumbana na vikwazo k**a hivi! πŸ˜‚

01/05/2026

The streets are definitely not safe for the weak! πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸŽ¬ Kutoka kwenye kuvunja milango hadi kukabana mashati, CHINGA Episode 2 is serving nothing but pure chaos and comedy!

Address

12 Mashori Street Sinza
Dar Es Salaam
72742

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

0713838553

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salt Media.online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salt Media.online:

Share