25/03/2023
YouTube Ni Moja Ya Digital Platforms Zinazolipa Vizuri Sana Kwasasa,Licha Ya Kua Zinatumiwa Na Wasanii K**a Majukwaa Ya Kuweka Nyimbo Na Maudhui Yao,Lakini Inaweza Kua Ajira Itakayokuingizia Kipato K**a Ukizingatia.
Unaweza Kua Youtuber Yani Mtu Unaeweka Maudhui Mbalimbali Na Ukapata Malipo Sawa Na Wanavyolipwa Wasanii Na Watu Wengine.
Ugumu Wa YouTube Hua Ni Mwanzo Tu Pale Kwenye Kufukisha Vigezo Vyao Ili Upewe Matangazo (google ads)Ambayo Utavuna Pesa Kupitia Watu Kuyatazama Yale Matangazo.
Vigezo Vya Kupewa Matangazo Au Kuanza Kulipwa YouTube Ni Subscribers 1000,Watch Hours Masaa 4000 Na Channel Iwe Na Uhai Wa Miezi 12.Ukitimiza Vigezo Hivyo Utaomba Monetization, Ukishakua Verified Basi Utaanza Kuvuna Pesa Kirahisi Sana Ukiwa Umelala Tu Ndani.
Utalipwa Kulingana Na Jumla Ya Views Ulizopata Kwa Kila Video Kwa Mwezi,Jumla Ya Subscribers Walioongezeka Kwa Mwezi N.K.
Kuendesha YouTube Channel Inahitaji Ubunifu Ili Kuvutia Watu Kutazama Maudhui Yako,Hivyo Ukiwa K**a Youtuber Make Sure Content Zako Zitateka Hisia Za Watu Hivyo Kuvutiwa Kutazama.
Yes K**a Ilivyo Friiconnect Hatushindwi Jambo Sisi Tunakurahisishia Kupata Vigezo Hivyo Kwa Muda Mchache Na Kwa Bei Za Kawaida Sana,Yanini Kusubiri Mpaka Miaka Miwili Au Mitatu Ndo Utimize Vigezo Vya Kulipwa Wakati Njia Za Mkato Zipo Na Ni Very Safe.
K**a Uko Interested Kuanza Kulipwa YouTube Na Hujafikisha Vigezo Tupigie Sasaivi Usichelewe.
☎️ 0689901002
📲0762556287
Tupo Sinza Madukani Dar es salaam Tanzania.