mtaitaphones__store_tz

mtaitaphones__store_tz - Nawasaidia Watu Wote Kujipatia Simu BORA!
- GOOGLE PIXEL || iPHONE || SAMSUNG|| INFINIX || REDMI..

⚠️TAHADHARI!Kutumia Chat GPT Ni Hatariii…ILA Badala Ya Kuifuta Hapa Chini Ndani Ya Sekunde 5 Naenda Kukuonesha Namna Yak...
13/10/2025

⚠️TAHADHARI!

Kutumia Chat GPT Ni Hatariii…

ILA Badala Ya Kuifuta Hapa Chini Ndani Ya Sekunde 5 Naenda Kukuonesha Namna Yakuepuka Hatari Zotee,

Fungau Chat GPT Yako,
Bofya Vimistari Viwili Juu,
Bofya Profile Yako,
Kisha Sehemu Ya Data Control
TURN OFF Kila Kitu Hapo📌
Kisha Rudi Nyuma,
Ingia Sehemu Ya Personalization,
Hapa Zima - Reference Saved Memory
💨Baada Yakufanya Hivi… Sasa Endelea Kutumia Chat GPT Yako Kwa Uhuru Wote!

Natumaini Umejifunza Kitu… Big Up

K**a Umekwama Mahali Nicheki inbox…

Nikutakie Wakati Mwema

🔥 Pata Uzoefu Wa Simu Yakifalme 📱

> 🛍️ ™
> ☎️ 0624435828

⚠️K**a Una Simu Basi Ijue eSIMLaini Ya Ndani Ya SimuHaina Haja Yakuweka Laini Kwenye Simu Yako Tena!Je Simu Yako Ina Sup...
25/09/2025

⚠️K**a Una Simu Basi Ijue eSIM
Laini Ya Ndani Ya Simu
Haina Haja Yakuweka Laini Kwenye Simu Yako Tena!
Je Simu Yako Ina Support eSIM? Ipo Namna Yakuweza Kujua Kwa Urahisi.

eSIM Ni Nini? Je Mtu Anawezaje Kuitumia? Na Je Simu Yangu Ina-Support?

_Okay Let’s GO…_
*💨eSIMU Ni Nini?*
eSIM Ni Kifupi Cha “Embedded Subscriber Identity Module”.
_Ni Simu Kadi (Laini) Ya Kidigitali Ambayo Imejengwa Moja Kwa Moja Ndani Ya Simu, Badala Ya Kuweka Kadi Laini) Ya Plastiki K**a Tulivyozoea._
Inafanya Kazi K**a SIM Card (Laini) Ya Kawaida Kwa Kuhifadhi Nambari Ya Simu Na Taarifa Za Mtandao Wa Mawasiliano.
*💨Je Nawezaje Kuitumia eSIM?*
_Ili Mtu Aitumie eSIM, Kwanza Simu Yake Lazima Iwe Na Uwezo Wa Kuunga Mkono Teknolojia Hii._
Baadhi Ya Simu Za Kisasa Za Android, iPhone N.k Zina Teknolojia Ya eSIM Ndani Yake.

*💨Je Utajuaje K**a Simu Yako Ina Support eSIM?*
_Chukua Simu Yako Piga KODI #06 # Ili Kuona IMEI Za Simu Yako. Ikiwa Simu Yako Inasupport eSIM, Utapata Nambari Iliyoanzia Na “EID” (Embedded Identity Document). Ukiiona Hii Basi Jua Simu Yako Ina Support eSIM_
*💨Na Je Nawezaje Kujiunganisha Na eSIM?*
Mteja Unatakiwa Kuwasiliana Na Kampuni Ya Simu Ili Kupata QR Code Ya Ku-Activate ESIM Yake. Hapa Utaenda Kwenye Duka La Mtandao Husika, Mfano VodaShop Au HaloShop Ukiwa Na Namba Yako Uliyoisajili Kawaida.

_Nb. Hii Ina Gharama Kidogo Kwa Voda Wana Activate Kwa Tsh 6,000, Mitandao Mingine Sijajua. Na Ku Activate Ni Mara Moja Tu Ukishafanya Hivo Siku Zingine Zote Na Hata Ukibadilisha Simu Utakua Unaweza Kujiunga Wewe Mwenyewe_
Baada Ya Kupata QR Code, Mteja Ataiscan Kupitia Simu Yake Ili Kuwasha Na Kuanza Kutumia Huduma Ya Mtandao.

Natumaini Utakua Umejifunza Kitu, Hongera🫡 !*
Na K**a Umekwama Mahali Niulize iNbox…

*By The Way…*
_Jina Langu Ni Christopher Mtaita Nipo Hapa Kukusaidia Kuijua Na Kuipata Simu Bora Pindi Utakapohitaji Kupata Simu - Kwaiyo Pindi Ukihitaji Simu Karibu Tuwasiliane Ili Uweze Kuipata Simu Bora Kulingana Na Bajeti Yako… Karibu Sana🙏_
Nikutakie Wakati Mwema.
*I Wish You Good*

MUHIMU…📌Kuhusu Uagizaji Wa Simu/ Mizigo Mikoani🚚 Kwenye Kuagiza Simu Mkoani Huwa Natumia Kampuni Ya PAX Transportation S...
14/09/2025

MUHIMU…📌
Kuhusu Uagizaji Wa Simu/ Mizigo Mikoani🚚
Kwenye Kuagiza Simu Mkoani Huwa Natumia Kampuni Ya PAX Transportation Service Limited…
Hii Ni Kampuni Yausafirishaji Mizigo Iliyosajiliwa Brella… Na Wana Ofisi Tanzania Nzima.
Kwanini Huwa Natumia PAX?
Endapo Mzigo Ukipotea, Wao Ndio Wanabeba Jukumu Zima La Kuulipa,
Kwaufupi Hii Njia Ni Salama Na Ya Haraka Zaidi Kuliko Kuagiza Kupitia Mawakala Wa Mabasi.
_💨Na Uzuri Zaidi… Pindi Mzigo Unavoanza Safari Huwa Wana Utaratibu Wakukutumia Message Wewe Mpokeaji…Kwamba Mzigo Wako Ndio Unatoka Dar Es Salaam Na Utafika Mkoani Kwako Saa Fulani Na Utauchukua Katika Ofisi Yetu Iliyopo Mahali Fulani…_
_…Na Utawasiliana Na Mtu Fulani ( Aliyepo Ofisini Mzigo Utakapokua Umefikia) Na Namba Yake Ya Simu Unatumiwa._
By The Way…
Nimeshafaniliwa Kuagiza Simu Nyingi Mikoa Mbali Mbali Tanzania Na Zikafika Kwa Haraka Na Bila Usumbufu Wowote.
Big Up PAX!

Karibu Nikuagizie Simu Pindi Utakapohitaji🫵🤝
🛍️
📍Kariakoo Dar Es Salaam
🚚 Mkoani Unaletewa Kupitia
☎️ 0624435828
🔥 Pata Uzoefu Wa Simu Yakifalme📱
Karibu Sanaa…

Happy Farmers Day!
08/08/2025

Happy Farmers Day!

By The Way... Tupo Hapa Kuwasaidia Watu Wote Kuweza Kuijua Na Kuipata Simu Bora Kwa Wakati Ambapo Utaihitaji…Na Hii Itat...
03/08/2025

By The Way...
Tupo Hapa Kuwasaidia Watu Wote Kuweza Kuijua Na Kuipata Simu Bora Kwa Wakati Ambapo Utaihitaji…

Na Hii Itategemeana Na Bajeti Au Kiwango Cha Fedha Ambacho Mhusika Unakua Nacho Kwaajili Ya Kuipata Simu Yako Bora, Lakini Si Hivyo Tu.....Bali Pia Tunawasaidia Watu Wote Kuweza Kuzipata Taarifa Zote Muhimu Kuhusiana Na Simu Yako Bora
Kwa Urahisi Na Bure Kabisa.
“Pata Uzefa Wa Simu Yakifalme”

, , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255624435828

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mtaitaphones__store_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to mtaitaphones__store_tz:

Share