04/12/2023
Kwa elimu bora ya mwanao,karibu Reuben Education Centre.Tunatoa elimu kwa wanafunzi wanaorudia mtihani kwa kidato cha pili (QT),cha nne,na cha sita kwa michepuo yote (HKL,HGL,HGK,HGE,CBG,PCB and PCM) .Pia masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule ya msingi.Tunapatika BOKO STREET -TEMEKE kwa mawasaliano piga 0626529735/0788983935.Bei zetu ni nafuu sana.Karibu sana.