12/06/2016
Ukurasa huu wa Online Soko unahusiana na ununuaji na uuzaji wa bidhaa mbali mbali hasa zile za eliktroniki k**a vile tarakirishi (computer), simu, majokofu, majiko n.k. hivyo ni baadhi tu.Vinaweza kuwa vipya au vilivyo tumika kikubwa ni iwe mali ya halali, kila mtu anaweza kuuza au kununua inategemeana na hitaji lako kikubwa ni kuwasiliana na admin wa ukurasa huu na kufanya makubaliano, vitu tutakavyo vifanya ni:
- Kukutanisha wauzaji na wanunuzi ili biashara ifanyike katika hali ya usalama na makubaliano.
-Biashara inayo fanyika hapa ni halali, tunachukia sana sana wezi na wanyang'anyi hivyo vitu tutakavyo viweka sokoni ni vile tulivyo jirizisha kupitia uchunguzi wakina, kwa hivyo ondoa shaka kwani hata sisi tunania yakukua na kuwa mtandao mkubwa.
- Bidhaa utakayo nunua utaletewa mahali ulipo utalipia usafiri kwa bei yake bila kuongezeka.
- Tunataka kuifanya biashara iwe rahisi kwa kila mtu na huduma ipatikane kwa kadri mtu anavyo taka katika unafuu kabsa.
- Wewe mteja sisi tutakutetea kwa hali na uwezo wetu wote ili upate huduma unayo ihitaji kwa bei nafuu.
- Kumbuka utatoa oda mtandaoni lakini malipo utafanya pale utakapo letewa bidhaa yako.
Kwa mawasiliano zaidi ununuaji, uuzaji, maswali na maelekezo, tucheki kupitia:
Simu: 0769813324 / 0714378047
email: [email protected]
ONLINE SOKO TUNAFANYA BIASHARA IWE RAHISI NA NAFUU!