sanga_mobile_phone

sanga_mobile_phone WAUZAJI WA SIMU ORIGINAL AINA ZOTE NA VIFAA VYAKE KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA

❤️
26/02/2024

❤️

  'GB WhatsApp'' ni toleo la WhatsApp lililoboreshwa kutoka WhatsApp halisia na kuongezewa vitu vya ziada k**a vile Kufi...
01/02/2024

'GB WhatsApp'' ni toleo la WhatsApp lililoboreshwa kutoka WhatsApp halisia na kuongezewa vitu vya ziada k**a vile Kuficha kitiki pale ujumbe unapofika, kuona ujumbe uliofutwa, kuona status iliyofutwa na mengine mengi ndani yake.

Sasa ni zipi faida za kutumia GB WhatsApp?

📌 Kutumia WhatsApp mbili kwenye simu moja.

📌 Inakupa chaguo la yenyewe kujibu ujumbe k**a ifanyavyo WhatsApp Business.

📌 Kusoma jumbe zilizofutwa (Deleted Messages)

📌 Machaguo mengi zaidi ya kuficha soga(chats).

📌 Ku-download WhatsApp status.

📌 Kubadili muundo wa maandishi.

Ki-uhalisia haina faida ila kwa baadhi ya watumiaji wametanabiasha sifa tajwa hapo juu k**a faida kwao kimatumizi.

Hasara za kutumia GB WhatsApp

📌 Haiko rasmi kwenye masoko ya kupakua Application (Playstore/Appstore) hivyo inakuitaji kwenye Website ili kuipakua.

📌 Ni kinyume na sheria kwa maana hairuhusiwi kimatumizi.

📌 Sio salama kwa maana ya mfumo wake, huweza kuchukua taarifa zako.

📌 Account yako kufutwa na WhatsApp wenyewe, na hapa ndipo watu wengi wamekumbana na kadhia kwa kipindi cha hivi karibuni.

hatushauri mtumiaji wa simu janja kutumia aina hii ya WhatsApp, kwani haiko salama kwa upande wa Faragha zako.

IPHONE 14 PRO MAX128GB 2,700,000256GB 2,800,000🛍️ZIMEFIKA DUKANI 📍FIKA DUKANI ☎️TUPIGIE KWA 0622295017PLEASE FOLLOW US  ...
29/01/2024

IPHONE 14 PRO MAX
128GB 2,700,000
256GB 2,800,000

🛍️ZIMEFIKA DUKANI

📍FIKA DUKANI
☎️TUPIGIE KWA 0622295017
PLEASE FOLLOW US

BEI ZA KIZAWA

MOXOM SMART WATCH ORIGINAL✨ MODEL MX-WH09✨ 7 WATCH STRAP📍 BEI TSH 60,000/=
26/01/2024

MOXOM SMART WATCH ORIGINAL

✨ MODEL MX-WH09
✨ 7 WATCH STRAP

📍 BEI TSH 60,000/=

OFFER🔥OFFER🔥OFFEROPPO A57 2020—————————Storage: 128gbRam: 8gbBattery 🔋: 5000mAh Camera: 13MPFinger print✅Network: 5gDual...
25/01/2024

OFFER🔥OFFER🔥OFFER

OPPO A57 2020
—————————
Storage: 128gb
Ram: 8gb
Battery 🔋: 5000mAh
Camera: 13MP
Finger print✅
Network: 5g
Dual sim(laini mbili)
Condition: used abroad clean 🧽

PRICE💵: 250,000/= Tsh

WARRANTY 🔥
Miezi sita✅

OFFER
🔥Free protector
🔥 Free charger

📍Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Agrey na likoma karibu na Hotel ya Valentino

☎️0622295017

Mikoani Tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana kwa wateja wa jumla na reja reja

sanga_mobile_phone

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 19:00
Wednesday 07:00 - 19:00
Thursday 07:00 - 19:00
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255622295017

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sanga_mobile_phone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share