07/08/2026
Mfumo wa vocha gharama zakeβ¦.na vifaa vyake mahitajiβ¦ Internet, kifaa cha vocha na mfumo wake, Cable na kifaa cha umbali . Mahitaji ya ziada min ups kwaajili ya umeme au kutunza powerβ¦.
πFURSA YA BIASHARA β ANZA KUUZA WiFi K**A VOCHA! π₯
β
Baada ya kuwa na internet yoyote ile
π» MFUMO WA VOCHA (WiFi Hotspot)
β
Ongeza kipato kwa kuuza WiFi kwa vocha
β
Mtaji mdogo, faida kila siku
β
CHAGUO LA MIFUMO
1.β
MFUMO WA MANUAL β 350,000/= (Wengi Wanaupenda)
β
Hakuna gharama za ziada baada ya malipo
β
One-time charge
β
Utaelekezwa namna ya kutengeneza vocha zako mwenyewe
2.β
MFUMO WA AUTOMATIC Kwa Watu wengi zaidiβ 600,000 ~ 800,000 inategemea pia na kifaa cha chake na uwezo wa watu unaotaka watumie
β
Mfumo unajiendesha wenyewe
β
Unaweza kuufunga mkoa mmoja na ukaendelea na shughuli mkoa mwingine
β
Unaunganishwa na mifumo ya malipo k**a
β’ Selcomβ’ Zenopayβ’ Azampayβ
Subscription ya mwezi: 20,000/=mfumo.
β
Unahitaji NIDA, TIN, Leseni ya Biashara au BRELA.
β
ACCESS POINT / EXTENDER & COVERAGE (MUHIMU )Japo unaweza kwa kuanza bila kuwa nayo. K**a eneo ni dogo sana.
β
Unaweza kufunga Access Point 1 au zaidi kulingana na ukubwa wa eneo lako
β
Hii inakupa coverage kubwa na kuwafikia wateja wengi zaidi
β
Access Point / Extender ni muhimu sana kwa biashara ya WiFi
β
Access Point ya kawaida β 170,000/= (hadi mita 100)
β
Access Point ya umbali mrefu (eneo la wazi) β 650,000/= (hadi mita 300)
β
UniFi Access Point β 480,000/= (hadi mita 200 eneo la wazi)
β
MAHITAJI MENGINE
β
Internet ya mtandao wowote yenye kasi
β
Cable mita 1 = 1,200/= | Roller ina 305mita 250,000/=
β
UFUNGAJI & HUDUMA
β
Dar es Salaam: tunakuja hadi site kumaliza kazi
β
Mikoani: vifaa hutumwa/fundi anafika kwa gharama za mteja
β
Labour charge hutegemea kazi
π° MFANO WA bei unapanga mwenyewe. Mfano.. β
(Auto cut) labda kwa siku 1,000 waki konect watu 40 kwa siku itakuwa 40,000 kwa mwezi 1,200,000 ukitoa ya internet unayolipia inayobak ndio faida sasa.
βοΈπWasiliana nasi: 0710 802 580 π₯ Access Point nyingi = Coverage kubwa = Wateja wengi = Faida zaidi!