12/06/2026
Zuku Satellite TV inakuletea burudani ya soka.
Shuhudia mabampano kutoka EFL, Saudi Pro League, UEFA Women's Champion's League, Dutch Eredivisie, na SPFL.
Na bado burudani haishii hapo!
Tunarusha hewani mtanange ya nguvu ya michezo mingine k**a FIBA, NBA, WNBA, MLB, AFL, NHL, NFL, NRL, na mengine mengi.
Zuku TV inakuletea ulimwengu mzima wa soka moja kwa moja hadi sebuleni kwako kupitia chaneli 712, 713, 714, 720, na 721.
Unganishwa leo!