BEI Nafuu Electronics

BEI Nafuu Electronics Tunauza Tv, Sabufa, Friji, Feni na bidhaa nyingine za umeme KWA Jumla na Rejareja.
0715300902 WhatsAp

Oya hii feedback ya kibabe sana.Kuna mtu aliunganishwa kwangu na mshkaji wake Akaja na machaguo ya friji anayotaka nikam...
24/02/2026

Oya hii feedback ya kibabe sana.

Kuna mtu aliunganishwa kwangu na mshkaji wake

Akaja na machaguo ya friji anayotaka nikamwambia hiihapana chukua hii

Akagoma weeee wife wake akakaza wakaondoka

Baadae akarudi akasema nipe tu hiyo nijaribishe

Gues what??...😄

Umeshapita mwezi
Boom!! Leo mshkaji wake ananicheki ananitumia hii screenshot.

Jamaa anakwambia friji Inagandisha k**a watu tupo Urusi😁
Anaongeza anasema eti nimempa friji Kwa kumkomoa mpaka anaamua usiku kuizima isije ikagandisha hadi giza😄

Oyaaaa
Njooni Bei Bei chee niwape furaha halisi inayodumu kwenye majumba yenu

Usipogwe na makanjanja njoo Bei Chee Even pekee

Simu ZIITE
0716300902
0676108126
0748811010





@⁨all⁩

12/03/2025

Good Morning!!
Tumeshafungua Karibuni Sana.


Vitron TvInchi 32LED TVFRAMELESS BEI 210,000Call/WhatsApp 0715300902
09/03/2025

Vitron Tv

Inchi 32
LED TV
FRAMELESS

BEI 210,000

Call/WhatsApp
0715300902

09/03/2025

Tumeshusha oven
Brand: West Strong
Ukubwa: Lita 50

Bei 150,000 tu

Mzigo wa moto sana huu.

Cheki video hii uone mambo jinsi yalivyo

Kwa wateja wa 5 wa mwanzo nawapa Kwa 130,000 tu.
Haya njooni

Mtu mmoja ukichukua kuanzia 2 nakupa Kwa 125,000 tu.

09/03/2025

Good Morning!

Tumeshafungua Karibuni Sana.


07/03/2025

Friji hii ni 930,000 tu.

Juu inapooza
Chini inagandisha
Ina water dispenser inayojaa maji Lita 2
Chini kwenye kugandisha ina droo zake

Rangi yake ni makini sana😍😍

Call/WhatsApp
0715300902


03/03/2025

MR UK FRIJI

Bei 560,000

•Lita 158
•Haipigi kelele wakati wa ufanyaji kazi
•INA MILANGO 2
•Juu inagandisha, chini inapooza
•Inatumia umeme kidogo sana
•ipo taster kwenye kupooza na kugandisha
•Ina Lock za kubana
*••••Delivery Juu ya mteja*

●■WARRANT MIAKA 3

Njooni kwetu Bei Chee Electronics mbebe vitu makini kwa bei nafuu

Call/WhatsApp
0715 300 902

🇼︎🇪︎🇱︎🇨︎🇴︎🇲︎🇪︎
Tunapatikana Kariakoo Mtaa wa muheza na masasi
•Mtaa wa 2 nyuma ya China Plaza
•Nyumba namba 20
•Utaona bango kubwa juu ya ofisi yetu lenye Jina letu

🌍 Ingia Google na uandike ✍︎
Bei Chee Electronics01
Itakuelekeza mpaka dukani kwetu

*TANGAZO*
Wapendwa wateja,
Bidhaa zote katika duka letu zina WARRANT YA MWAKA 1 UNAPOUZIWA DAI WARRANT YAKO

Link yetu
https://chat.whatsapp.com/CLxexcMgD8gDcxYsxVEZTD


03/03/2025

SPJ FREEZER
Bei 430,000

•Lita 100
•Haipigi kelele wakati wa ufanyaji kazi
•Ipo faster kwenye kugandisha
•Inatumia umeme kidogo sana
•Ina mikono yake ya kushikia
•Ina Lock za kubana

●■WARRANT MIAKA 3

Njooni kwetu Bei Chee Electronics mbebe vitu makini kwa bei nafuu

Call/WhatsApp
0715 300 902

🇼︎🇪︎🇱︎🇨︎🇴︎🇲︎🇪︎
Tunapatikana Kariakoo Mtaa wa muheza na masasi
•Mtaa wa 2 nyuma ya China Plaza
•Nyumba namba 20
•Utaona bango kubwa juu ya ofisi yetu lenye Jina letu

🌍 Ingia Google na uandike ✍︎
Bei Chee Electronics01
Itakuelekeza mpaka dukani kwetu

*TANGAZO*
Wapendwa wateja,
Bidhaa zote katika duka letu zina WARRANT YA MWAKA 1 UNAPOUZIWA DAI WARRANT YAKO

Link yetu
https://chat.whatsapp.com/CLxexcMgD8gDcxYsxVEZTD


EUROPE STRONG REFRIGARATOR Lita  100•Juu inagandisha•Chini inapoozaBei 375, 000Call/WhatsApp 0715300902
26/02/2025

EUROPE STRONG REFRIGARATOR

Lita 100

•Juu inagandisha
•Chini inapooza

Bei 375, 000

Call/WhatsApp
0715300902

AILYONS REFRIGARATOR COMBI Lita  225•Juu inapooza•Chini inagandishaBei 780,000Call/WhatsApp 0715300902
26/02/2025

AILYONS REFRIGARATOR

COMBI
Lita 225

•Juu inapooza
•Chini inagandisha

Bei 780,000

Call/WhatsApp
0715300902

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Telephone

+255715300902

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BEI Nafuu Electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BEI Nafuu Electronics:

Share

Category