VFD Smart Receipt

VFD Smart Receipt A TRA approved receipt solution from Ambwene Konzo Limited. Upgrade now to the new V-EFD solution.

AMBWENE KONZO LTD PRESENTS A LIGHTWEIGHT, FLEXIBLE, RELIABLE, AFFORDABLE AND INEXPENSIVE WAY OF ISSUING TRA RECEIPTS MAKING USE OF EITHER A PHONE, WEB, COMPUTER, POS OR INTERGRATING WITH YOUR EXISTING SYSTEMS YES YOU WONT NEED SPECIALIZED HARDWARE OR TRADITIONAL MACHINE

Biashara yako inastahili suluhisho bora. Wasiliana nasi leo. πŸ“ž +255 762 900 011
20/08/2026

Biashara yako inastahili suluhisho bora. Wasiliana nasi leo.

πŸ“ž +255 762 900 011

Ilikuwa Ni heshima kubwa kwa AMBWENE KONZO LIMITED kumpokea Mgeni Rasmi, Asha Juma Feruzi, katika banda letu wakati wa B...
17/08/2026

Ilikuwa Ni heshima kubwa kwa AMBWENE KONZO LIMITED kumpokea Mgeni Rasmi, Asha Juma Feruzi, katika banda letu wakati wa Business & Health Expo. πŸ™πŸ½

Hii ilitupa nafasi ya kuonesha bidhaa na suluhisho zetu, kueleza tunachofanya pamoja na kubadilishana mawazo yenye kujenga kwa ajili ya maendeleo ya biashara na ubunifu. 🀝🏽

Tunathamini muda na ushirikiano wake. Tunazidi kuamini kwamba ubunifu, teknolojia na ushirikiano vina nafasi kubwa katika kujenga Tanzania yenye fursa zaidi.

AMBWENE KONZO LIMITED β€” Solution Beyond Expectations.

Jana tulipata nafasi ya kushiriki katika BUSINESS HEALTH EXPO, tukio lililoandaliwa chini ya Chuo kikuu SDA Church, kati...
17/08/2026

Jana tulipata nafasi ya kushiriki katika BUSINESS HEALTH EXPO, tukio lililoandaliwa chini ya Chuo kikuu SDA Church, katika Viwanja vya Ardhi University. πŸ™πŸ½

Ilikuwa ni fursa nzuri kwetu k**a AMBWENE KONZO LIMITED kukutana na watu mbalimbali, kushirikiana, kujifunza na kutambulisha bidhaa pamoja na suluhisho tunazotoa kwa wafanyabiashara. 🀝🏽

Tunawashukuru Fly Today,Chuo kikuu SDA Church kwa kutupatia nafasi ya kuwa sehemu ya tukio hili muhimu, pamoja na kila aliyefika kwenye banda letu na kuonyesha interest katika huduma na bidhaa zetu. πŸ™πŸΎ

AMBWENE KONZO LIMITED β€” Tukiwa pamoja, tunajenga biashara bora zaidi.

16/08/2026

Chuo kikuu Ardhi tupo hapa
Ambwene Konzo Limited

Heri ya Sikukuu ya Nane Nane! Tunawatakia wakulima na Watanzania wote maadhimisho mema ya Nane Nane. Siku ya leo
08/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Nane Nane! Tunawatakia wakulima na Watanzania wote maadhimisho mema ya Nane Nane. Siku ya leo

VFD Smart Receipt β†’ Toa risiti za TRA kwa simu yako tuImeidhinishwa na TRA | Bei nafuu | RahisiπŸ“ž +255 762 900 011
06/08/2026

VFD Smart Receipt β†’ Toa risiti za TRA kwa simu yako tu
Imeidhinishwa na TRA | Bei nafuu | Rahisi
πŸ“ž +255 762 900 011

Juma jipya Limeanza πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:+255 762 900 011 | +255 625 839 399
03/08/2026

Juma jipya Limeanza

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 762 900 011 | +255 625 839 399

πŸ–¨οΈ Kifurushi cha Printer ya Thermal – TZS 250,000/= pekee!Fanya biashara kwa urahisi zaidi kwa printer ya kisasa ya ther...
29/07/2026

πŸ–¨οΈ Kifurushi cha Printer ya Thermal – TZS 250,000/= pekee!

Fanya biashara kwa urahisi zaidi kwa printer ya kisasa ya thermal yenye uwezo wa kuchapisha risiti halali za TRA papo hapo.

βœ… Risiti halali za TRA
βœ… Inatumika na Pc na Simu
βœ… Battery ya muda mrefu
βœ… Salama na rahisi kutumia

Pata suluhisho kamili la biashara yako leo kwa bei nafuu sana!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 762 900 011 | +255 625 839 399

Je, unatumia Odoo? Sasa unaweza kutoa Risiti Halali za TRA bila kubadilisha mfumo wako wa mauzo.Unganisha VFD Smart Rece...
26/07/2026

Je, unatumia Odoo? Sasa unaweza kutoa Risiti Halali za TRA bila kubadilisha mfumo wako wa mauzo.

Unganisha VFD Smart Receipt na Odoo, endelea kutumia mfumo wako wa kawaida huku ukitoa risiti zinazokidhi matakwa ya TRA.

βœ… Hakuna kubadilisha mfumo
βœ… Uunganishaji wa haraka kupitia API
βœ… Risiti halali za TRA papo hapo

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

24/07/2026

EFD/VFD RISITI βœ…

Address

Biashara Complex Building, Mwananyamala, Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VFD Smart Receipt posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VFD Smart Receipt:

Share