Tanzania Printing Services Ltd

Tanzania Printing Services Ltd Established in 1976. We specialize in Exercise Book, Envelopes, Commercial Printing, and more

Wazo zuri linastahili kuonekana kwa ubora. TPS tunaligeuza kuwa brochures, booklets, posters, packaging, cards na bidhaa...
29/07/2026

Wazo zuri linastahili kuonekana kwa ubora. TPS tunaligeuza kuwa brochures, booklets, posters, packaging, cards na bidhaa nyingine za uchapishaji zinazojenga taswira ya biashara yako.

Kutoka kwenye wazo hadi bidhaa halisi - tuchapishe pamoja.

Wasiliana nasi: +255 783 111 111

Mahitaji ya shule, ofisi na biashara sasa yanapatikana sehemu moja. TPS tunakuletea madaftari, spring files, flat files,...
22/07/2026

Mahitaji ya shule, ofisi na biashara sasa yanapatikana sehemu moja. TPS tunakuletea madaftari, spring files, flat files, NCR papers, envelopes na bidhaa nyingine za ubora kwa matumizi yako ya kila siku.
Nunua kwa urahisi. Pata ubora unaouamini.

Wasiliana nasi: +255 783 111 111

Kwa mahitaji makubwa ya ofisi, taasisi au biashara, TPS tunakuhakikishia upatikanaji wa NCR Books na NCR Paper Rolls kwa...
17/07/2026

Kwa mahitaji makubwa ya ofisi, taasisi au biashara, TPS tunakuhakikishia upatikanaji wa NCR Books na NCR Paper Rolls kwa wingi na kwa wakati.
Stock ipo tayari. Delivery ipo tayari. Biashara yako isiache kusonga.

Wasiliana nasi: +255 783 111 111


Kila mafanikio makubwa huanza na wazo dogo lililoandikwa. Ukiwa na daftari la Ngalawa, mtoto anapata nafasi ya kujifunza...
12/07/2026

Kila mafanikio makubwa huanza na wazo dogo lililoandikwa. Ukiwa na daftari la Ngalawa, mtoto anapata nafasi ya kujifunza, kubuni na kujenga msingi wa kesho yake.
Chagua ubora unaoambatana na kila hatua ya elimu.

Saba Saba ni nafasi ya kuionyesha biashara yako kwa ubora unaostahili. Kutoka brochures na catalogues hadi banners, pack...
07/07/2026

Saba Saba ni nafasi ya kuionyesha biashara yako kwa ubora unaostahili. Kutoka brochures na catalogues hadi banners, packaging na business cards, TPS tunakusaidia kujitambulisha kitaalamu na kuvutia wateja zaidi. Heri ya sikukuu ya Saba saba

Chapisha. Jitangaze. Kua.

Wasiliana nasi: +255 783 111 111

Mpangilio mzuri wa nyaraka huokoa muda na kurahisisha kazi. Hifadhi mafaili yako kwa usalama na uyapate kwa haraka ukit...
01/07/2026

Mpangilio mzuri wa nyaraka huokoa muda na kurahisisha kazi. Hifadhi mafaili yako kwa usalama na uyapate kwa haraka ukitumia Spring Files imara kutoka TPS.

Wasiliana nasi: +255 783 111 111

Barua, documents na nyaraka zako zinastahili kufika zikiwa salama na zenye muonekano mzuri. Chagua TPS Envelopes kwa mat...
27/06/2026

Barua, documents na nyaraka zako zinastahili kufika zikiwa salama na zenye muonekano mzuri.

Chagua TPS Envelopes kwa matumizi ya ofisi, shule na biashara kila siku.

Baba ni zaidi ya mlezi — ni mwalimu, mshauri na mtu wa kwanza kuamini kwenye ndoto za mtoto. TPS tunawatakia akina baba ...
21/06/2026

Baba ni zaidi ya mlezi — ni mwalimu, mshauri na mtu wa kwanza kuamini kwenye ndoto za mtoto. TPS tunawatakia akina baba wote siku yenye furaha na heshima kubwa.

Happy Father’s Day 💙

Usiku unaanza na maandalizi mazuri… na harufu nzuri zaidi. ✨Chagua Explore kwa fresh vibe kila unapotoka.Piga simu leo.M...
15/06/2026

Usiku unaanza na maandalizi mazuri… na harufu nzuri zaidi. ✨
Chagua Explore kwa fresh vibe kila unapotoka.

Piga simu leo.
Mainland: +255 747 255 255
Zanzibar: +255 658 427 994

Uchapishaji mzuri huongeza thamani ya ujumbe wako.Kwa TPS, kila kazi inatengenezwa kwa umakini ili brand yako ionekane p...
10/06/2026

Uchapishaji mzuri huongeza thamani ya ujumbe wako.

Kwa TPS, kila kazi inatengenezwa kwa umakini ili brand yako ionekane professional, clear na yenye kuvutia machoni.

Address

98/99 Dakawa Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Printing Services Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Printing Services Ltd:

Shortcuts

Share