gucci_mipiko

gucci_mipiko Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from gucci_mipiko, Mobile Phone Shop, Dar es Salaam.

Vijana wa chama cha mapinduzi (Uvccm) Tulikutana na kubadilishana mawazo yenye tija na maendeleo ya Taifa letu.Tulipata ...
07/12/2023

Vijana wa chama cha mapinduzi (Uvccm)
Tulikutana na kubadilishana mawazo yenye tija na maendeleo ya Taifa letu.
Tulipata uwakilishi wa kila wilaya ya mkoa wetu wa pwani.

Success consists of going from  failure to failure  without loss of enthusiasm.
02/12/2023

Success consists of going from failure to failure without loss of enthusiasm.

Nilipata nafasi ya kujuikq kwenye ziara ya mwenyekiti wa vijana (w) mkuranga pamoja na wajumbe wake wa kamati ya utekele...
22/11/2023

Nilipata nafasi ya kujuikq kwenye ziara ya mwenyekiti wa vijana (w) mkuranga pamoja na wajumbe wake wa kamati ya utekelezaji, Na mimi nilipata fursa ya kuwasalimia na kutoa shukran zangu za dhati kwa wao wana Vikindu kwa kunichagua na kuwa mjumbe wa mkutano mkuu uvccm Taifa_Pwani.

Asanteni sana ndugu zangu wa umoja wa Vijana kunipa nafasi ya kujifunza

Kamanda kikosi wa maendeleo ya wqna mkuranga  Tutakulipa mashirikiano kwa  haya mema unayotufanyia
18/11/2023

Kamanda kikosi wa maendeleo ya wqna mkuranga
Tutakulipa mashirikiano kwa haya mema unayotufanyia

Samia ni wetu Vijana wa Chama cha mapinduzi kutokea Pwani mkuranga.
06/11/2023

Samia ni wetu
Vijana wa Chama cha mapinduzi kutokea Pwani mkuranga.

Mimi mjumbe wa mkutano mkuu uvccm taifa kutokea Pwani nikiwa na macomrade wenzangu, mwenyekiti wa vijana (w) mkuranga pa...
24/10/2023

Mimi mjumbe wa mkutano mkuu uvccm taifa kutokea Pwani nikiwa na macomrade wenzangu, mwenyekiti wa vijana (w) mkuranga pamoja na katibu siasa na uwenezi( w) Tukishuhudia kazi inayofanywa na mama yetu kipenzi Ugawajwi wa Boti za kisasa kwa wanufaika mbali mbali Wilayani mkuranga, Pongezi za dhati ziende kwa Mh mbungw wetu kwa kulisimamia hili lakini pia shukran nyingi ziende kwa kwa utendaji ulioenda shule.
Lakini niseme awamu hii vijana hatujalala hata, kaka ndugu zako ndo tushaanza huku tuna mengi ya kusema aisee 2024/2025.

Vijana safi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mkuranga, tukihakikisha tunakijenga Chama chetu kwa gharama yeyoye. Lakini ...
23/10/2023

Vijana safi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mkuranga, tukihakikisha tunakijenga Chama chetu kwa gharama yeyoye. Lakini tupo kwa ajili ya kuwasaidia kazi viongozi wetu wa chama na serikari kwa maslahi mapana ya watu wa mkuranga na watanzania kwa ujumla.

matukio mbalimbali ya vijana wa chama cha mapinduzi mkoa wa Pwani, wilaya ya Mkuranga kwenye Operation Simika Bendera il...
08/10/2023

matukio mbalimbali ya vijana wa chama cha mapinduzi mkoa wa Pwani, wilaya ya Mkuranga kwenye Operation Simika Bendera iliyoongozwa na kamanda, CDE Mohamedi Kizundu mwenyekiti Uvccm Mkuranga (W)
Kwa pamoja tunazidi kuipa heshima Chama chetu na mafanikio na kazi kubwa inayofanywa na Mh mbunge wetu
Na Mh Dc hakika mnatupa nguvu sana ya kufanya zaidi.







HD  WIRELESS 🎧BLUETOOTH 💰TSH 20,000/=📍Duka letu lipo mkuranga mjini.📞Call/sms 0715705768wa.me/255715705768
30/12/2022

HD WIRELESS

🎧BLUETOOTH

💰TSH 20,000/=

📍Duka letu lipo mkuranga mjini.
📞Call/sms 0715705768
wa.me/255715705768

HEAD PHONES ZENYE BASSTSH 15,000/= 🔥Duka letu lipo mkuranga mjini.Call 📞 0715705768wa.me/255715705768
27/12/2022

HEAD PHONES ZENYE BASS
TSH 15,000/= 🔥

Duka letu lipo mkuranga mjini.
Call 📞 0715705768
wa.me/255715705768

Bluetooth PadV8, GAMING PADTSH 40,000/= 🔥Duka letu lipo mkuranga mjini.Call 📞 0715705768wa.me/255715705768
27/12/2022

Bluetooth Pad
V8, GAMING PAD
TSH 40,000/= 🔥

Duka letu lipo mkuranga mjini.
Call 📞 0715705768
wa.me/255715705768

FAST CHARGER | USB C to LIGHTNING (iphone 13 pro max)TSH 40,000/= 🔥Duka letu lipo mkuranga mjini.Call 📞 0715705768wa.me/...
26/12/2022

FAST CHARGER | USB C to LIGHTNING
(iphone 13 pro max)

TSH 40,000/= 🔥

Duka letu lipo mkuranga mjini.
Call 📞 0715705768
wa.me/255715705768

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when gucci_mipiko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share