Dive Talents Training Centre

Dive Talents Training Centre Namba: 0784850300 (Call & Whatsapp)
(1)

Tunatoa mafunzo ya ujuzi wa KUJIAJIRI
📌COMPUTER
📌GRAPHIC DESIGN
📌USUSI
📌MAKE UP
📌USHONAJI
📌DIGITAL MARKETING & AI
Tupo Mbezi Mwisho - Mazulu, Barabara ya kuelekea Goba.

09/08/2026

Haujachelewa Sana, Darasa bado lipo mwanzoni kabisa!!!!!,

Kujiunga na kozi yoyote kati ya tuzitoazo tafadhali wasiliana na sisi:

Call/Whatsapp: 0784850300/ 0789943666

09/08/2026
02/08/2026
29/07/2026

Wengi wanatumia AI ila ni wachache wanaotumia responsibly.

Comment neno "Part 2" tuchimbe kiundani zaidi.

26/07/2026

Katika ulimwengu wa sasa, ujuzi zaidi ya mmoja ndio siri ya uhakika wa kipato (financial freedom). Ujuzi ni ASSET isiyochuja wala kuoza!

Unasubiri nini ku-upgrade maisha yako? Dive Talents Training Center tunakukaribisha ujifunze kwa vitendo:

-Graphic Design (Ubunifu wa Posters & Brands)
-Ushonaji (Fasheni & Ubunifu wa Nguo)
-Ususi & Urembo (Sekta inayolipa kila siku)

Nafasi ni chache ili kila mwanafunzi apate mafunzo ya karibu!

Mahali: Mbezi Mwisho, Barabara ya GOBA (Kituo cha MAZULU KANISANI)

Piga/WhatsApp: 0789 943 666 / 0784 850 300
Instagram: UJUZI NA MBINU ZA MAFANIKIO

26/07/2026

Fursa za Graphic Designer kutengeneza pesa ni nyingi sana na zimegawanyika katika aina mbalimbali.

Moja ya fursa hizo ni kufanya kazi kwenye Global platforms zinazowawezesha madesigner kuingiza kipato kizuri kwa kazi za kawaida k**a Logo, Business Cards, Flyers, nk.

K**a unahitaji kujifunza hizo program ili uanze kutengeneza pesa unakaribishwa kwenye darasa letu.

Tunapatikana Mbezi- Mazulu kanisani karibu na ukumbi wa Little Flower Hall.
Tupigie: 0789943666/ 0784850300

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dive Talents Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share