Kadi Express

Kadi Express Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kadi Express, Mikocheni B, Rose Garden Road, Mazinde Street, Plot No. 52 Block A, Dar es Salaam.

Kadi Express Tanzania
Mialiko ya Kidigitali + Usimamizi wa Wageni
Kadi - WhatsApp & SMS
Michango | Sherehe | Mikutano
Okoa Muda & Gharama
📞 0636717480
Sherehe bila STRESS!

Nellius & Brenda wameichagua Kadi Express kuwa wasimamizi rasmi wa siku yao ya kihistoria.Kwa tukio hili, tunatoa huduma...
10/08/2026

Nellius & Brenda wameichagua Kadi Express kuwa wasimamizi rasmi wa siku yao ya kihistoria.

Kwa tukio hili, tunatoa huduma zetu zote kwa ufanisi:

✅ Usambazaji wa Kadi (WhatsApp & SMS).
📞 Kupiga Simu & Uthibitishaji!
📱 Card Scanning Siku ya Tukio.
📊 Ripoti ya Mahudhurio.
🙏 Ujumbe wa Shukrani.

Unataka harusi yako au tukio lako liwe na utaratibu k**a huu?

💬 Wasiliana nasi leo kwa mialiko yako ya kidijitali!

📲 0767700151
✉️ [email protected]

07/08/2026
Ni mwendo wa KuScan tu na Kadi Express!Wasiliana nasi: 0778269593
05/08/2026

Ni mwendo wa KuScan tu na Kadi Express!

Wasiliana nasi: 0778269593

03/08/2026

Acha kutuma mialiko kizamani, chagua Kadi Express – suluhisho la kisasa la mialiko ya kidijitali linalorahisisha maandalizi ya tukio lako na kufanya mchakato wa mialiko kuwa rahisi, wa haraka na wenye ufanisi.

Huduma zetu ni pamoja na:

• Utengenezaji wa Kadi za Kidijitali (Premium Design)

• Usambazaji wa Kadi kupitia WhatsApp na SMS

• Kupiga Simu za Kukumbusha na Kuthibitisha Mahudhurio (RSVP)

• Kutuma Ujumbe wa Kukumbusha Kabla ya Tukio

• Kuandaa Ripoti ya Awali na kukupatia idadi kamili ya wageni watakaofika

• Kuhakiki Wageni Siku ya Tukio (Card Scanning)

• Kushirikiana na Kamati Kupokea na Kuelekeza Wageni

• Ripoti ya Mahudhurio ya Wageni

• Kutuma Ujumbe wa Shukrani Baada ya Tukio

• Ushauri wa Kitaalamu wa Usimamizi wa Wageni

Iwe ni Harusi, Send-off, Kitchen party, Birthday, Mahafali, Baby shower, Anniversary au tukio la kampuni (cooperate event), tupo hapa kuhakikisha maandalizi yako yanakuwa rahisi, ya kisasa na yenye mpangilio.

Mawasiliano: +255 778 269 593 / +255 764 925 549

28/07/2026

Ni wakati sasa wa kufanya tukio lako kuwa la kipekee na la kisasa.

17/07/2026

Kadi za Mialiko za Kidigitali ni Kadi Express!

Call: 0778269593

13/07/2026

Kadi Za Kidigitali na Kadi Express!
11 July 2026 at Sabrina’s Night.

Kesha team ya Kadi Express tutakuwepo ndani ya Rombo Green View Hotel, kuhakikisha shughuli zote za kupokea na Mialiko y...
10/07/2026

Kesha team ya Kadi Express tutakuwepo ndani ya Rombo Green View Hotel, kuhakikisha shughuli zote za kupokea na Mialiko ya Wageni kidigitali inaenda kwa Ubora Bila Stress!

Address

Mikocheni B, Rose Garden Road, Mazinde Street, Plot No. 52 Block A
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kadi Express posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share