12/01/2025
Haya tumesha malizana na washika mitutu wakati huo Liverkuku aliponea chupu chupu β¦.
Kuna mwingine huko aje kwa Daktari ??? πΉπΉ
Sisi Mashabiki wa Man U ndio mashabiki wenye raha zaidi Duniani ππ€©