04/06/2026
Tumia likizo hii Kuiboresha Daycare yako kwa Amelipa System!
Muhula mpya ukianza, usianze na usumbufu wa makaratasi, hesabu za mikono na kufuatilia ada kwa shida.
Hiki ndicho kipindi bora kwa wamiliki wa Daycare na Pre-school kujiunga na Amelipa System, kujifunza matumizi yake na kuandaa taarifa zote za wanafunzi kabla ya muhula mpya kuanza.
Kwa kutumia Amelipa System utaweza:
✅ Kusajili wanafunzi wote kidigitali
✅ Kusimamia na kufuatilia malipo ya ada kwa urahisi
✅ Kutuma SMS za kumbusho kwa wazazi wanaodaiwa
✅ Kupunguza madeni ya ada kwa ufuatiliaji wa karibu
✅ Kupata ripoti za mapato na matumizi wakati wowote
✅ Kutuma taarifa kwa wazazi wote kwa pamoja (Bulk SMS)
✅ Kuhifadhi kumbukumbu za wanafunzi kwa usalama na urahisi
Usisubiri muhula uanze ndipo uanze kufanya mabadiliko. Tumia likizo hii kujiandaa mapema na kuanza muhula mpya ukiwa na mfumo wa kisasa wa usimamizi.
💰 Gharama ni TZS 350 tu kwa mwanafunzi kwa mwezi.
📲 Kwa maelezo zaidi au kujiunga: Piga simu au WhatsApp 0782 829 990
Amelipa System – Rahisisha Usimamizi wa Daycare yako Kidigitali.