Dommy Electronics Store

Dommy Electronics Store We Are Tanzanian Selling Agency
Specifically, Electronics Set Devices
Welcome And We Are Looking Forward Serving You

Rechargeable Bluetooth keyboard For phone /Ipad /PC /Smart tv Tsh 45,000/=
18/03/2025

Rechargeable Bluetooth keyboard

For phone /Ipad /PC /Smart tv

Tsh 45,000/=

*Product*: Docking Station*Speed* 3.0*Price*: 75,000/=
18/03/2025

*Product*: Docking Station
*Speed* 3.0
*Price*: 75,000/=

PC power cable Tsh 5,000/=
16/03/2025

PC power cable
Tsh 5,000/=

Electric blower Tsh 55,000/=
16/03/2025

Electric blower
Tsh 55,000/=

RJ45 connector
15/03/2025

RJ45 connector

HDMI cable kwanzia miter 1.5 adi mita 30 karibu
15/03/2025

HDMI cable kwanzia miter 1.5 adi mita 30 karibu

Climping tools 25,000/=
15/03/2025

Climping tools
25,000/=

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„Hawatajua K**a Ni CCTV Camera!!.. ✨ Pengine unataka kuweka ulinzi kwa kutumia camera na hupendi wengine (wanafami...
18/09/2022

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„

Hawatajua K**a Ni CCTV Camera!!..

✨ Pengine unataka kuweka ulinzi kwa kutumia camera na hupendi wengine (wanafamilia, wafanyakazi au wapita njia nk) wajue kuwa ni camera inayorecord mahali hapo.

✨ Basi hii ni ya kuwa nayo itakufaa sana ⬇️

πŸ”ΈKwanza ipo katika muonekano wa "smoke detector" hivo ni rahisi kuificha sehemu na watu wasijue kuwa upo unalindwa na hii camera na hata wakiiona hawagundui

πŸ”Έ Pili ni "IP Camera" maana yake inapokea na kutuma picha ama video kwa kutumia internet iliyopo mahali Hapo (utaunganishwa na simu yako na kutazama matukio live)πŸ˜„

πŸ”ΈTatu inatoa picha na video angavu na resolution yake ni "megapixel 3" swipe kushoto kutazama quality ya picha na video

πŸ”ΈFaida ya nne ipo kwenye Bei na Leo ni 69,000|= ndio ni kwa Bei hiyo camera yako inakufikia popote ulipo Tanzania

Tunapatikana makumbusho stand ila kwa urahisi karibu dm ama Tupigie kwa simu namba ⬇️
☎️+255 757 904 359

P.S
CCTV camera za aina zote zinapatika hivo tupigie utueleze hitaji lako nasi tutakuwa tayari kukuhudumia na tufollow Ili tuzidi kuwa karibu kwa huduma mbali mbali, ahasante kwa kutuaminiπŸ™

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„Hakikisha Una Internet Ya Uhakika Ofisini Kwako..!!✨ Hivi sasa njia ya kusambaza internet imekuwa rahisi na huu ur...
13/09/2022

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„

Hakikisha Una Internet Ya Uhakika Ofisini Kwako..!!

✨ Hivi sasa njia ya kusambaza internet imekuwa rahisi na huu urahisi unaletwa na hii "Tp Link Desktop Switch" mahususi kwa matumizi ya ofisini na nyumbani

Kwanini hii??⬇️

✨ Hiki kifaa kimeundwa kwa umaalumu na kinaoondoa kuganda ganda kwa network ama mtandao na kufanya utendaji kazi wako uwe wa kiwango kizuri k**a sio kikubwa

✨ Pamoja na kuwa unaweza kusambaza internet kwa watu takribani 16 hii haitaathiri uwezo wa internet kiujumla na ina uwezo wa kusambaza network hadi mbps 100 (internet mpaka inamwagika mtu wangu )πŸ˜„πŸ˜„

✨ Yote tisa kumi ni kuwa bado inapatikana kwa Bei babkubwa 119,000|= na popote πŸ‡ΉπŸ‡Ώ package inakufikia

✨ Tunapatikana makumbusho bus stand na unaweza kutupigia sasa Ili usiendelee kusumbuka na mtandao ⬇️

☎️ +255 757 904 359

P.S
Huenda upo Dar es salaam na unahitaji internet basi ondoa shaka tupigie na Endelea kuwa nasi zaidi usisahau kutufollow k**a bado hujafanya hivo , ahsante kwa kutuamini πŸ™



̇si̇

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„Kaa Vyovyote Unavyotaka..!✨ Mambo vipi mtu wangu!!...Mfalme huyu hapa na sasa unaweza kufanya kazi ukiwa umekaa p...
13/09/2022

πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„πŸͺ„

Kaa Vyovyote Unavyotaka..!

✨ Mambo vipi mtu wangu!!...Mfalme huyu hapa na sasa unaweza kufanya kazi ukiwa umekaa pozi linalokufanya uwe huru zaidi na ukapiga mzigo kwa Muda mrefu bila kuchoka (mzigo namanisha kazi πŸ˜„)

✨ Hii ni "Dual Screen Stand" mahususi kwa kuweka (tv monitor ama desktop) mbili na inafanya utendaji kazi wako uwe Bora na wa kisasa

✨ Inakuja kuongeza nafasi kwenye eneo unalofanyia kazi (mezani) lakini pia ni stand unayoweza kuiweka angle yoyote unayoitaka (vijana wanaita portable)πŸ˜„ swipe kushoto kuikagua

✨ Kizuri zaidi ahitaji sayansi kuifunga ni rahisi sana na inabeba tv au monitor mpk nch 32 kwa pamoja (zikiwa mbili)

✨ Order ni nyingi na gharama ya kuichukua hii ni 120,000|= popote πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inakufikia Cha muhimu usiendelee kusubiri.

✨ Fika ofisini kwetu makumbusho bus stand ama tupigie kwa simu namba uchukue yako Leo ⬇️
☎️+255 757 904 359

P.S
Endelea kurefresh page yetu kwa bidhaa Mbali mbali na usisahau kutufollow k**a Bado hujafanya hivo Ili tukuhudumie kwa ukaribu na ahsante kwa kutuamini πŸ™



Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dommy Electronics Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dommy Electronics Store:

Share