31/05/2026
⚠️[TAHADHARI]: Kumbuka kwenye kila tatizo utakalokuja kutengenezewa ofisini kwetu basi utapata na BONUS ya huduma hizi zote bure kabisa...
1). Tutakusafishia speaker ya simu yako
2). Tutakusafishia mike ya simu yako
3). Tutakusafishia camera ya simu yako
4). Tutakusafishia charging ports za simu yako
5). Tutakurudishia water proof ya simu yako
6). Tutakuwekea protector mpya
7). Tuta updates IOS ya simu yako
Na...
8). Tutakupa na GUARANTEE ya miezi 2 baada ya kuhudumiwa
Ili kujua bei ya matengenezo ya simu SLIDE kushoto ili kuangalia bei zetu kabla hujapiga simu ya kufika ofisini kwetu.
SN: Kumbuka ofa hii ni maalumu kwa watumiaji wote wa simu za iPhone tu.
So wewe mwenye iPhone mwambie mwenye iPhone mwenzako kuwa Kitambo Simu Solution tuko kwaajili yenu.