Bungo technologies

Bungo technologies BUNGO Technologies are responsible for developing and implementing technology systems to optimize bus

leo ubao wa ajira wa BungoCareer unavyosoma, hivi unajua kuwa kuna wanaoshindwa kuomba ajira kwa kutopata habari za ajir...
16/03/2023

leo ubao wa ajira wa BungoCareer unavyosoma, hivi unajua kuwa kuna wanaoshindwa kuomba ajira kwa kutopata habari za ajira, na wengine wanashindwa sababu ya kukosa gharama za kuchapa barua, wasifu, ku print ili usaini kisha ku scan tena? hivi wajua wapo wanaoomba ajira kisha kukosa maandalizi mazuri ya interview k**a vile notes na material. kupitia app yetu yote hayo yanakwisha, app itakupa taarifa za ajira zilizopo, itakutengenezea barua ya kazi na wasifu automatic kulingana na kazi utayoomba, na kukupereka moja kwa moja kwenye site husika ya ajira ili utume 😊 kisha itakusogezea notes, material na kukupa nafasi ya kujipima kwa kujibu maswali kisha itakupa majibu sahihi, kikubwa zaidi app hii ni bure kabisaa
ipakue sasa google play store bureeee
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.bungotechnologies.bungojobs
na anza kujenga career yako leo

Sasa uombaji kazi ni rahisi sana na ni bureee kabisa.Je wajua kuwa tumerahisisha uombaji kazi?, kupitia app yetu ya Bung...
15/03/2023

Sasa uombaji kazi ni rahisi sana na ni bureee kabisa.Je wajua kuwa tumerahisisha uombaji kazi?, kupitia app yetu ya BungoCareer tunakuwekea orodha ya nafasi za kazi zinazopatikana kila zinapotoka, app hii itakutengenezea barua ya maombi ya kazi automatic kulingana na kazi husika, pia app hii itakutengenezea wasifu wa kisasa yaani modern CV automatic kabisa, kisha ukishatuma maombi app hii haikuachi hivihivi, inakupa nafasi ya kujiandaa na usaili (interview) kwa kukupa material na notes kulingana na fani uliyoorodhesha, itakupa fursa ya kujipima kwa maswali yaani quizzes, baada ya kumaliza quiz utaweza ona majibu sahihi. App hii itakusogezea kila taarifa za ajira na ni bureee kabisa
ipakue sasa google play store https://play.google.com/store/apps/details?id=com.bungotechnologies.bungojobs

kwa mahitaji ya desktop applications k**a hiiina uwezo wa kuhifadhi mauzo, manunuzi,kodi, gharama na mapato mengine,ina ...
01/04/2020

kwa mahitaji ya desktop applications k**a hii
ina uwezo wa kuhifadhi mauzo, manunuzi,kodi, gharama na mapato mengine,ina uwezo wa ku process taarifa za kibiashara k**a vile financial statements (trading, profit and loss and balance sheet), mfumo wa usalama upo vizuri sana na inasaidia data zako kuwa sehem moja iliyo salama
bei zetu ni nafuu sana na inachukua muda mchache kupata software yako

karibu bungo techonoligies watengenezaji wa software za compyuta na simu, hii ni software inaitwa mz shoopingsoftware hi...
31/03/2020

karibu bungo techonoligies watengenezaji wa software za compyuta na simu, hii ni software inaitwa mz shooping
software hii ina uwezo wa kuuza na kununua bidhaa kwa njia ya mtandao,unaweza uza bidhaa zako, kulipa kwa mitandao ya simu, credi and debit card pamoja na bank, pia tuna software nyengine za desktop, mobile applications pamoja na websites, unaweza kuja na design yako ama tukaku design kulingana na mahitaji yako
bei zetu ni nafuu sana

Address

Mabibo
Dar Es Salaam

Telephone

+255788181893

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bungo technologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share