17/10/2019
https://youtu.be/iS_ZbcVvTUk
Umewahi kutumiwa links kwa njia ya WhatsApp, Email, n.k? Unafahamu kwamba baadhi ya links huweza kuwa na virusi (malware) hatarishi? Fahamu namna tovuti zinavyokaguliwa kuchunguza k**a zina malware.
Katika utafiti tunaoendelea kufanya juu ya hali ya malware hapa nchini tunatumia nyenzo maalumu ambazo tumezifanyia customization hapa LTD. Nyenzo hiz...