Phidtech Ict & Business Solutions Limited

Phidtech Ict & Business Solutions Limited Tupo Mikocheni B Dar es salaam TUPIGIE 0682188544

PHIDTECH.COM ni jukwaa linalowaunganisha Freelancers na Wanunuzi wa Huduma kwa usalama na urahisi.Kwa Freelancers✅ Jisaj...
27/07/2026

PHIDTECH.COM ni jukwaa linalowaunganisha Freelancers na Wanunuzi wa Huduma kwa usalama na urahisi.
Kwa Freelancers
✅ Jisajili bila usumbufu
✅ Tengeneza Profile yako ya kitaalamu
✅ Weka huduma (Gigs) zako
✅ Pokea oda kutoka kwa wateja
✅ Lipwa kwa usalama kupitia Mobile Money
Kwa Wanunuzi
✅ Ajiri wataalamu wenye ujuzi ✅ Linganisha bei na huduma ✅ Malipo salama ✅ Kazi hukamilishwa kwa haraka na ubora
Huduma zinazopatikana
🎨 Graphic Design
💻 Website Development
📱 Mobile App Development
📈 Digital Marketing
✍️ Writing & Translation
🎬 Video Editing & Animation
🤖 AI Services
📊 Data & Business Services
🎁 Jisajili leo na uanze kuuza au kununua huduma kwa urahisi!
🌐 www.phidtech.com⁠�
📞 0682 188 544

RAHISISHA SHUGHULI ZA TAASISI YAKO YA MICROFINANCE KWA MFUMO WA KISASA!Je, bado unasimamia mikopo, wateja na marejesho k...
27/07/2026

RAHISISHA SHUGHULI ZA TAASISI YAKO YA MICROFINANCE KWA MFUMO WA KISASA!

Je, bado unasimamia mikopo, wateja na marejesho kwa kutumia vitabu au Excel?
PHIDTECH LMS ni mfumo wa kisasa ulioundwa mahsusi kwa ajili ya Taasisi Ndogo za Fedha, SACCOS, VICOBA na NGO ili kuongeza ufanisi, usalama na ukuaji wa biashara yako.

Mfumo unakuwezesha:
✅ Kusajili na kusimamia wateja (KYC)
✅ Kusimamia mikopo na ratiba za marejesho
✅ Kufuatilia malipo na madeni kwa urahisi
✅ Kutengeneza ripoti za kifedha papo hapo
✅ Kusimamia uhasibu na mishahara
✅ Kutuma SMS kwa wateja
✅ Kufanya kazi popote ulipo kupitia mtandao
💰 Vifurushi vinaanzia TZS 30,000 tu kwa mwezi.
🎁 Jisajili leo na ujaribu mfumo wetu.
🌐 www.phidlms.co.tz⁠�
📞 0682 188 544

✍️✍️
19/07/2026

✍️✍️

Katika kuazimisha Miaka 10 ya Phidtech.Tunatos Punguzo la asilimia 50 Katika bei Zetu kwa siku ya Leo Tar 1.1.2026
07/07/2026

Katika kuazimisha Miaka 10 ya Phidtech.Tunatos Punguzo la asilimia 50 Katika bei Zetu kwa siku ya Leo Tar 1.1.2026

JUMAPILI NJEMA🙏
05/07/2026

JUMAPILI NJEMA🙏

Je unahitaji Tovuti au Mfumo wa Biashara yako? PHIDTECH ni mabingwa wa kutengeneza Tovuti na Mifumo kwa ajili ya Taasisi...
03/07/2026

Je unahitaji Tovuti au Mfumo wa Biashara yako? PHIDTECH ni mabingwa wa kutengeneza Tovuti na Mifumo kwa ajili ya Taasisi na watu Binafsi.

Pia tunatoa Huduma ya Mifumo ya kukodi kwa ajili ya kurahisisha shughuli za Biashara yako.

1.Mfumo wa Huduma ya ukopeshaji kwa ajili ya Taasisi ndogo za fedha Yani Microfinance -www.phidlms.co.tz
2.Mfumo wa sms www.phidsms.co.tz
3.Mfumo wa duka www.phidpos.co.tz
4.Mfumo wa Huduma mtandaoni www.phidtech.com
5.mfumo wa shule au vyuo www.phidlearn.co.tz
6.Mfumo wa Hospitali www.phidhosp.co.tz
6.Mfumo wa mtandao wa KIJAMII www.phidchat.com

JE UNAHITAJI TUKUTENGENEZEE MGUMO GANI?
Wasiliana na Phidtech
✓Tupo Mikocheni B Dar es salaam,
✓Dodoma mjini,
✓Kayanga ,Karagwe,Dodoma

Wasiliana nasi Simu 0682188544

Je Ofisi yako ina Tovuti? Fanya shughuli zako zipatikane kirahisi mtandaoni.Tengeneza Tovuti wateja wapate Huduma zako p...
03/07/2026

Je Ofisi yako ina Tovuti? Fanya shughuli zako zipatikane kirahisi mtandaoni.
Tengeneza Tovuti wateja wapate Huduma zako popote walipo.Piga 0682188544

✍️
28/06/2026

✍️

Address

MIKOCHENI B
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phidtech Ict & Business Solutions Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Phidtech Ict & Business Solutions Limited:

Shortcuts

Share