Simu_Kwa_Mkopo

Simu_Kwa_Mkopo Tunakopesha Simu Aina Tofauti tofauti
MAWASILIANO: 0773381286

03/02/2024
13/07/2023
*MKOPO HUU NI KWA WATU WA DAR-ES-SALAAM NA PWANI*DONDOO MUHIMU KUHUSU MKOPO WA SIMU:1️⃣Mkopo huu ni Kwa Simu za Infinix,...
13/07/2023

*MKOPO HUU NI KWA WATU WA DAR-ES-SALAAM NA PWANI*

DONDOO MUHIMU KUHUSU MKOPO WA SIMU:

1️⃣Mkopo huu ni Kwa Simu za Infinix, Tecno na Itel.

2️⃣Mkopo huu unakupa uwanja mpana wa kuchagua muda wa kufanya Malipo, ama kulipa Kwa miezi mitatu (3), Miezi Sita (6) au miezi Kumi na mbili (12)

3️⃣Mkopo huu ni Kwa watu wote, Kuanzia wanafunzi wa vyuo, wafanyabiashara, wajasiriamali na watumishi wa serikali

4️⃣Mkopo huu Hauna RIBA, una Leasing fee (Kodi ya kifaa)

VIGEZO NA MASHARTI:

❇️ Kitambulisho Cha Taifa (NIDA) ama leseni ya udereva au Kitambulisho Cha mpiga kura (au namba ya NIDA pia inafaa Kwa Simu za Infinix, Tecno na Itel)

❇️Pesa ya Kianzio 30% (Kulingana na Bei ya Simu unayotaka kukopa)

❇️Namba yako ya Simu, na namba ya mtu WAKO wa karibu (anaweza kuwa Mtu yeyote wa karibu ambae tutahitaji namba yake na awe anapatikana kipindi unachukua Simu).

KUHUDUMIWA KWA HARAKA PIGA SIMU:

+255 768 949 050

Au
Bonyeza Neno *Call Now* Ili Utupigie moja kwa moja

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255773381286

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simu_Kwa_Mkopo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share