Berwa Africa

Berwa Africa Berwa Africa Co. Ltd is a creative company based in Dar es Salaam. Focused on creativity, trust, and quality to bring client ideas to life.

It has been helping businesses grow by offering digital services, media work, printing, and branding support.

Karibu Berwa Africa tukutengenezee vitabu vya risiti vilivyo imara, vya ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.Tunach...
21/07/2026

Karibu Berwa Africa tukutengenezee vitabu vya risiti vilivyo imara, vya ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.

Tunachapisha:
✅ Receipt Books (Vitabu vya Risiti)
✅ Invoice
✅ Proforma Invoice
✅ Tax Invoice
✅ Job Cards
✅ Delivery Notes
✅ Purchase Orders (PO) na machapisho mengine ya biashara.

Piga simu au tuma oda yako kupitia WhatsApp:
0754 060 464 au
Email: [email protected]

📍 Tunapatikana Kariakoo, makutano ya Mtaa wa Twiga na Nyamwezi, Dar es Salaam.

Berwa Africa Co. Ltd ()
Empowering Ideas.

Client:

Happy   Day 2026___
07/07/2026

Happy Day 2026
___

Brand Yako, Taswira Yetu.Tunatoa suluhisho katika branding, uchapaji na matangazo zinazokuwezesha kujitofautisha sokoni,...
06/07/2026

Brand Yako, Taswira Yetu.
Tunatoa suluhisho katika branding, uchapaji na matangazo zinazokuwezesha kujitofautisha sokoni, kuanzia wazo hadi bidhaa iliyokamilika.

Angalia huduma zetu kupitia kipeperushi hiki na wasiliana nasi leo;

Simu / WhatsApp: 0754-060464
Email: [email protected]
___
Follow Us: Berwa Africa

Happy New Month
01/06/2026

Happy New Month

Tunaipa thamani yenye ubora biashara yako.Karibu  tukuhudumie.____Kwa huduma bora za usafiri wa Special Hire wasiliana n...
29/04/2026

Tunaipa thamani yenye ubora biashara yako.
Karibu tukuhudumie.
____
Kwa huduma bora za usafiri wa Special Hire wasiliana na

Biashara ni Matangazo, Karibu Berwa Africa () tuipe mwonekano unaostahili biashara yako.Wasiliana nasi leo: +25575406046...
23/04/2026

Biashara ni Matangazo, Karibu Berwa Africa () tuipe mwonekano unaostahili biashara yako.

Wasiliana nasi leo: +255754060464 au
Email: [email protected]
____

Heri ya Pasaka 2026___
05/04/2026

Heri ya Pasaka 2026
___


Biashara yako inastahili kujulikana na kuacha alama kwa wateja wako popote walipo.Tengeneza taswira ya kitaalamu kila un...
21/03/2026

Biashara yako inastahili kujulikana na kuacha alama kwa wateja wako popote walipo.

Tengeneza taswira ya kitaalamu kila unapowasilisha bidhaa zako mikoani kwa kutumia Delivery Stickers zenye ubora wa hali ya juu.

▪️Ongeza thamani ya brand yako
▪️Jenga uaminifu kwa wateja
▪️Fanya biashara yako ionekane professional zaidi.

💰 Kwa Tsh 35,000/= tu

📲 Wasiliana nasi leo tukusaidie kuinua brand yako kila unapodeliver bidhaa zako!
___
Cl: Rise Collection ()
Ag:
WhatsApp / Call: +255754060464
Email: [email protected]

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani ___
08/03/2026

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani

___

Address

Mapambano Shule, Sinza/Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:30
Tuesday 08:00 - 19:30
Wednesday 08:00 - 19:30
Thursday 08:00 - 19:30
Friday 08:00 - 19:30
Saturday 08:00 - 19:30

Telephone

+255754060464

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Berwa Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Berwa Africa:

Shortcuts

Share