Darcoder Company Ltd

Darcoder Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Darcoder Company Ltd, Software Company, Dar es salaam/Kinondoni B, Dar es Salaam.

Dar coder Technologist Company is the most leading company in Tanzania which basically deals with Software development and Installation in all sectors , Network Installation , Website Design , Security System like CCTV Camera, Electrical fence etc

20/10/2024

System ya MAUZO inayo tuma SMS ( ujumbe mfupi kwa njia ya simu) pale mteja anapo nunua ama anapo chelewesha Deni

14/09/2024

Huu ndio MFUMO WAKO BINAFSI wa kituo chako Cha AFYA unao paswa KUUMILIKI MOJA KWA MOJA bila KULIPISHWA baada ya MANUNUZI

11/04/2024

Je, office yako ya MICROFINANCE haina SYSTEM?
Je!, Bado unatumia madafutari kusimamai marejesho yako ya MIKOPO

Je Bado unatumia EXCEL kujaza mrejesho? Hatari sana hiyo!!

Je, umechoka gharama za Kila mwezi unazo lipishwa kwenye huo MFUMO unao tumia

Je, unahitaji MFUMO WAKO BINAFSI usio na gharama za kulipia lipia

Changamkia neema hii sasa
Piga simu : 0687465640 / 0658183406

13/03/2024
26/01/2024

Je, unapata HASARA mala kwa mala DUKANI kwako?

Je, umefilisika sababu ya wizi unao fanywa na watumishi wako ndani ya ofisi yako?

Je, umekosa usimamizi madhubuti ndani ya DUKA, HOSPITAL,SHULE au biashara yako?

Je , Unahitaji APP/ SYSTEM yenye kusimamai Kila kitu ofsin kwako na inayo endana na MAHITAJI YAKO?

je umechoka na MIFUMO ya kulipia lipia, kupanga au kutumia Mataftari kuendeshea biashara yako?

HAya ndoo majibu , sikiliza hapa
Tupigie: 0687465640 / 0658183406

26/01/2024

Je, hitaji lako ni APP / SYSTEM ya kusimamia MICROFINANCE /MIKOPO / MICRO CREDIT?

Je, umechoka na SYSTEM za kupanga na kutozwa PESA Kila mwezi kwa USER wako?

je , umechoshwa na kutumia daftari kujaza MAREJESHO, KUSAJIRI , MAUZO nk?

Je, unahitaji mfumo BINAFSI unaoendana na BIASHARA au HUDUMA yako kwa Kila kitu, ?

Tazama bonge la system ya kusimamia mikopo wenye kufanya Kila kitu

Wasiliana nasi kwa 0687465640 / 0658183406
Popote ulipo duniani pote SYSTEM unaipata

27/11/2023

Je, unaendesha huduma ya MIKOPO(Microfinance) Lakini umechoshwa na gharama za kulipia lipia MFUMO kila mwezi au mwaka??

Je, bado unatumia Daftari kukusanya MAREJESHO!!!?

Je, unahitaji KUPATA SYSTEM inayo endana na MAHITAJI yako ya Biashara!?

Hakika hitaji lako limejibiwa, sikiliza video hii Hadi MWISHO

26/11/2023

Je, unamiliki Kituo Cha AFYA lakini umekosa watu sahihi wa kukutengenezea MFUMO( HMS app) unao endana na MAHITAJI YA KÎTUO CHAKO?

Je, Mfumo ulio nao unakuingiza hasara za kulipia lipia mala kwa mala?.

Je, Bado unatumia Madaftari kuendeshea Off offce yako,

Hii ndoo MWISHO wa adha zote hizo, sikiliza video hii Hadi MWISHO

08/11/2023

Mfumo wa Hospital wa kisasa zaidi(Full Hospital information Systems) PART 2

08/11/2023

Mfumo wa Hospital wenye uwezo wa Hali ya juu(Hospital Information system) PART:1

07/07/2023

Offa ya siku mbili tu 8 - 9/7/2023 . Changamkia fursa

28/06/2023

Tuambie unahitaji mfumo wa kusimamia biashara gani uliyo nayo ili tukupatie

Address

Dar Es Salaam/Kinondoni B
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darcoder Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share