Home Clinic

Home Clinic (Call/Whtspp: 0710 909 214)

Nawasaidia wanaume wenye Kibamia, Uume Kusimama legelege, Kuwahi kumwaga na Kuchelewa kurudia bao la pili, Kujitibu kwa kutumia kanuni za lishe, lifestyle, mbinu asilia na Dawa.

Beetroot ni tunda la kipekee lenye viini lishe vingi sana vinavyoupa mwili ufanisi mzuri wa kujikarabati kiasili..Wengi ...
15/06/2026

Beetroot ni tunda la kipekee lenye viini lishe vingi sana vinavyoupa mwili ufanisi mzuri wa kujikarabati kiasili..

Wengi huuliza linapatikana wapi hili tunda..

Ukienda masoko makubwa hili tunda lipo, ila hakuna soko maalum au sehem maalum linapouzwa..

Hata kwenye magenge ya kawaida sehem zilizochangamka unaweza kulikuta..

Walioko dar mnaweza kwenda soko la kisutu pale yapo ya kutosha..

Au maeneo ya ilala boma k**a unaenda kariakoo njiani unaweza kukutana nayo.

Ukiyabrend ukachanganya na tangawizi, itakuwa bora zaidi.

14/06/2026

Upatie mwili wako virutubisho sahihi kisha uone k**a hautoperfom vizuri kwenye shoo..

Hii ni njia moja wapo ya kurudisha virutubisho kwenye mwili vilivyopotea kutokana na punyeto, magonjwa na lifestyle..

K**a una madhara ya punyeto anza na hii.. kisha jiunge na link iko kwenye bio upate program ya kuongezea..

13/06/2026
12/06/2026

Chukua beetroot 1, tangawizi kipande, karoti kubwa 1, na maji ya ndimu au limao.

Weka na maji kikombe 1, kisha saga mpaka isagike vizuri.

Kunywa hivyo hivyo bila kuchuja..

Kikombe 1 tu kinatosha kila siku mara 1 tu.

K**a wewe ni muathirika wa Punyeto na unahitahi kuondoa madhara ya nyeto..

Nimekuandalia Program ya bure kabisa ya hatua kwa hatua kuondokana na madhara hayo.

Bofya link kwenye bio kujiunga sasa hivi.

Hii ni best pia kwa wale waliojichua...Lakini k**a wewe una madhara ya kujichua na unahitaji kuongezea mbinu za kuondoa ...
11/06/2026

Hii ni best pia kwa wale waliojichua...

Lakini k**a wewe una madhara ya kujichua na unahitaji kuongezea mbinu za kuondoa madhara hayo..

Bofya link kwenye bio sasa hivi kujiunga na Program nilioiandaa..

Program ni bure..

10/06/2026

Daah 😅😅

08/06/2026

Unaanza tendo ukiwa vizuri, lakini baada ya dakika chache tu uume unaanza kulegea na kukata moto katikati ya mchezo? 😓

Hali hii huwafanya wanaume wengi kupoteza kujiamini na kushindwa kumridhisha mwenza wao.

Jaribu mchanganyiko huu wa asili 👇

Chemsha pamoja kitunguu swaumu kilichokatwa vipande vidogodogo, tangawizi ya unga, mdalasini wa magome na limao lililokatwa vipande pamoja na maganda yake.

Baada ya kuiva, epua na chuja kisha ongeza kijiko 1 cha asali. Tumia kikombe 1 kila siku.

Mchanganyiko huu una virutubisho vinavyoweza kusaidia afya ya mzunguko wa damu mwilini, jambo ambalo ni muhimu kwa usimamaji wa uume.

📌 Nimeandaa PROGRAM YA BURE kabisa ya hatua kwa hatua ya kusaidia wanaume wanaopambana na changamoto za...

Kuondoa madhara ya punyeto na ulegevu wa uume, kuwahi kumwaga na kushindwa kurudia tendo kwa kujiamini.

Kujiunga, bofya link iliyopo kwenye bio au comment neno "Niunge" hapa chini. 👇

Kitunguj swaum ni moja ya kiungo bora sana kwenye afya ya uzazi ya mwanaume na kuboresha nguvu za kitandani..Ila k**a uk...
07/06/2026

Kitunguj swaum ni moja ya kiungo bora sana kwenye afya ya uzazi ya mwanaume na kuboresha nguvu za kitandani..

Ila k**a ukikitumia vibaya huwezi pata virutubisho kwa asilimia 100..

Lazima ujue namna sahihi ya kukitumia ili kikuletee matokeo chanya..

K**a umependa tips hii, tafadhali comment neno "tips" i will appreciate..

Thanks.

06/06/2026

Mchanganyiko huu wa kitunguu maji, kitunguu swaumu, limao pamoja na maganda yake, mdalasini na tangawizi ni kinywaji kinachotumiwa na wanaume wengi kwa lengo la kusaidia afya ya mwili na kuongeza nguvu za kiume.

Maandalizi:

Kata kitunguu maji, limao pamoja na maganda yake na tangawizi vipande vidogo.

Weka kwenye sufuria pamoja na kitunguu swaumu na mdalasini, kisha chemsha kwa dakika 7 - 10.

Epua, chuja na uache ipoe kidogo, halafu ongeza asali.

Matumizi:

Kunywa kikombe kimoja kila siku kwa muda wa siku 21 mfululizo.

Faida kwa mwanaume:

Kitunguu swaumu na kitunguu maji vina virutubisho vinavyosaidia kuboresha mzunguko wa damu, jambo muhimu kwa uimara wa uume.

Tangawizi husaidia kuongeza nguvu za mwili na stamina, hivyo kumsaidia mwanaume kuwa na uwezo mzuri zaidi wakati wa tendo.

Limao lina antioxidants zinazosaidia kulinda seli za mwili, ikiwemo seli zinazohusika na uzazi wa mwanaume.

Mdalasini husaidia kuimarisha mzunguko wa damu na kusaidia mwili kutumia nishati kwa ufanisi zaidi.

Asali huongeza nguvu za asili na kusaidia mwili kupata virutubisho muhimu vinavyounga mkono afya ya uzazi.

K**a una madhara ya punyeto na unataka kujifunza hatua kwa hatua jinsi ya kurejesha nguvu zako za kiume, kuboresha stamina na kuondokana na changamoto zinazokusumbua, jiunge na program kupitia link iliyopo kwenye bio sasa hivi.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Home Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share