Megacj Solutions

02/05/2022

Eid Mubarak

TRUE WIRELESS HEADSET. *  Unaweza unganisha na Simu, TV, laptops na Redio na usisumbue watu ukiwa unaangalia movie ama k...
26/04/2022

TRUE WIRELESS HEADSET.

* Unaweza unganisha na Simu, TV, laptops na Redio na usisumbue watu ukiwa unaangalia movie ama kusikiliza music.

* Inauwezo wa kuchaji simu yako (Power bank) pindi ikiisha chaji.

* Inatumika kwa simu za aina zote.

SPECS ZAKE.
✓Name: F9 Bluetooth Earphones.
✓ Bluetooth version: version 5.1
✓ Working distance: 10m
✓ Working time: about 4H Earbuds
✓ Earbuds battery: 50mAH
✓ Input current:5V-1A
✓ Output current: 5V-1A

Lipia yako Sasa. Tsh 45,000 offer ya EID.

☎️ +255739900009

KARIBU.

19/04/2022

Unaweza unganisha na TV, laptop, Redio na simu za aina zote. Inaweza fanya kazi Kwa umbali wa zaidi ya mita 10. Pia unaweza itumia k**a Power bank.

Toa oda yako Sasa.

FUNGA MWAKA KiDIGITALI ZAIDI. PATA LAPTOP MPYA KWA KUILIPIA KWA AWAMU 3.AWAMU YA KWANZA TSH 400,000/=AWAMU YA PILI TSH 2...
13/12/2021

FUNGA MWAKA KiDIGITALI ZAIDI.

PATA LAPTOP MPYA KWA KUILIPIA KWA AWAMU 3.

AWAMU YA KWANZA TSH 400,000/=

AWAMU YA PILI TSH 250,000/=

AWAMU YA TATU TSH 250,000/=

HP PAVILION dv6
Price 900,000

Specifications:
Processor core i7-2670QM
RAM 4gb 500gb
hdd HD+HD7690M
Screen inch 15.6inches

OFA HII NI KWA WATU WOTE WANAOPENDA KUKUA KIDIGITALI.

Wasiliana nasi Kwa 0735900008.

"Laptops for better learning."

Je umeshawahi kufikiri namna njema ya kutatua changamoto ya upatikanaji wa nyenzo ya Elimu kipindi Cha Chuo??!! Umekumba...
03/12/2021

Je umeshawahi kufikiri namna njema ya kutatua changamoto ya upatikanaji wa nyenzo ya Elimu kipindi Cha Chuo??!! Umekumbana na changamoto ya kushindwa kumaliza Kazi kwa wakati kwa kukosa LAPTOP??!!!

Megacj Solutions tunakuletea utatuzi wa Laptop kwa njia ya Mkopo wa miezi 3.

Jaza link kwenye Bio nasi tutapata taarifa zako. Na pia uone aina mbalimbali za laptops na Bei zake.

Kwa maelezo zaidi piga 0739900009.

Karibu

27/11/2021

Jipe ZAWADI ya CHRISTMAS. Lete chaguo lako, upewe Bei, lipia subiri ndani ya siku 14 upate simu yako. Simu aina zote zinapatikana. Happy Sabbath.

08/11/2021

Lengo letu ni kuhakikisha kila: *

√ Mwanafunzi.
√ Mtumishi wa Umma.
√Taasisi Binafsi.
√ Wafanyabiashara,
√ Wasio na Sekta,
√ Vyuo na Shule
√ Halmashauri zote za Serikali zenye lengo la kukuza Teknolojia, upatikanaji wa learning materials za kisasa, (outdated library) kuongeza skills na ufanisi kwa Waalimu/watumishi kila mwenye Nia na uhitaji wa Laptop apate.

Na mpaka ifikapo 2025 katika kila Wanafunzi 10, wa 5 wawe na laptops. Na katika kila Watumishi 10, 8 wawe na laptops. .philipmpango

KARIBU.

HP PAVILION dv6 Price 900,000Specifications:Processor core i7-2670QM RAM 4gb 500gb hdd HD+HD7690M Screen inch  15.6inche...
27/10/2021

HP PAVILION dv6
Price 900,000

Specifications:
Processor core i7-2670QM
RAM 4gb 500gb
hdd HD+HD7690M
Screen inch 15.6inches

MEGACJ SOLUTION inakuwezesha mteja kupata laptop kwa njia ya mkopo, lipa sasa nusu ya bei na malizia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 3.

HP ENVY 4200M  PRICE  900,000Specifications:Processor: Core i5Ram  4gb HDD 500gb HD 4600+ NVIDIA 2gb Geforce. 1920*1080 ...
27/10/2021

HP ENVY 4200M
PRICE 900,000

Specifications:Processor: Core i5Ram 4gb HDD 500gb HD 4600+ NVIDIA 2gb Geforce. 1920*1080

MEGACJ SOLUTIONS inakuwezesha mteja kupata laptop Mpya na ya Kijanja kwa kuilipia kwa awamu 3.

HP  ELITEBOOK 850 PRICE 900,000specifications:Gen 5thProcessor  i5Ram 8Gb. 256gb ssd/ 1TB hdd Touch screen slim model ke...
27/10/2021

HP ELITEBOOK 850
PRICE 900,000

specifications:Gen 5thProcessor i5Ram 8Gb. 256gb ssd/ 1TB hdd Touch screen slim model keyboadDisplay 15.6”

MEGACJ SOLUTIONS inakuwezesha mteja kupata laptop Mpya na ya Kijanja kwa kuilipia kwa awamu 3.

Taasisi ya Elimu yenye lengo la kuongeza na kuleta tija katika ufundishaji na upatikanaji wa learning materials kwa Wana...
20/10/2021

Taasisi ya Elimu yenye lengo la kuongeza na kuleta tija katika ufundishaji na upatikanaji wa learning materials kwa Wanafunzi na Waalimu wake. Sasa fursa ipo kiganjani mwako. Tembelea akaunti yetu ya Insta na uone aina mbalimbali za laptops Ili uweze kupata laptop ya Mkopo. KARIBU

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Megacj Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share